Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Rc itabaki kuwa kanisa mama la ukristo duniani,hii ibaki kuwa heshima yake kuu. Kanisa limeulinda na kuupigania ukristo hadi leo hii wewe umezaliwa ukawa mkristo,hakuna uchafu wowote ni vile kanisa limeamua kufungua mikono kupokea wenye dhambi.
Narudia tena kukuambia rc haijapigania Ukristo hata kidogo kwa sababu misingi yake na misimamo yake sio ya kikristo hata kidogo, kwa matendo rc na shetani watakua Wana undugu wa damu kabisa, usihusishe Ukristo na vitu vya hovyo kama rc 😡😡😡
 
Yesu kristo alikula na kunywa pamoja na makahaba unazungumziaje hili?
Aliwafundisha kuacha ukahaba waokoke wafuate njia iliyokua sahihi hayo ndio mafundisho ya kristo, lakini kile kizee ambacho kinawaongoza wakatoliki na ndio kinatoa misimamo na mitazamo ya rc kinahalalisha ushetani badala ya kukemea, endeleeni kutetea siku sio nyingi mtaongozwa na mashoga kwenye hayo majengo yenu
 
Natamani kusikia mapadri na maaskofu wakimpinga papa kwa wingi ili ashindwe wa kumfukuza na mwisho wa siku papa ajiuzulu nafasi hiyo kwani imeanza kumpwaya
Hakuna padri wala askofu yoyote wa kumpinga Papa, sasa hivi kanisa lipo kwenye mikono ya Iluminati.
Tunaelekea kwenye New World Order na tayari Kanisa limekubali kuungana na shetani katika kuelekea kwenye makaribisho ya kumpokea mpinga Kristo.
Hizi habari sio za kufurahia kwa mtu yoyote anaemuamini MUNGU (mfuasi wa dini yoyote) maana tunakoelekea ni kubaya zaidi kuliko tulipotoka.
Mimi kama Muislam binafsi ninasikitishwa sana na taarifa za namna na hii.
 
Yesu hajawahi kuhubiri ushoga. Ndiyo maana nawaambia achaneni na dini, njooni kwa Yesu. Yeye ni nuru wala kwake hakuna giza la namna yeyote ile.

Sasa yesu kama hajahubiri Dini, NY inyi ukristo mmeutoa wapi?
 
Hakuna ktiu hapa naona Mungu wanayemwamini anaenda na mabadiliko ya nyakati anabadilika. I was born in a Catholic family, sijawahi kukana wala kuhama dhehebu ila niliacha kuamini katika dhehebu langu toka nilipoanza kusoma na kujiuliza amswali ambayo hakuna ambaye aliwahi nipa majibu ya kueleweka.
Huyu papa huyu ... nahisi siku za mbele utatokea mpasuka kama wa anglican

 
Ninachokijua ni kwamba viumbe vyooote, ikiwemo mashoga, vimeumbwa na Mungu. Na hua anasema anawapenda sana.

Kingine ninachokijua ni kwamba Mungu ni mjuzi na muweza wa vyote, hivyo ukiona anaruhusu jambo fulani kuwepo, basi ujue ana sababu zake za msingi sana zisizochunguzika. Kazi ya Mungu haina makosa.

Nakubaliana na Pope Francis....
Mungu ameumba wanawake na wanaume tu ,kwa kifupi sasa hv ushoga umeruhusiwa kwenye ukatoliki na hayo matamko yangekuwa yametolewa upande wa viongozi wa waislam kwamba dini imeruhusu hzo tabia humu server ya jf ingejaa matusi angetukanwa muhammad 24/7 hila sababu watukanaji limewakuta wenyewe kumekuwa kimyaaa
 
Wewe utakubali mwanaume aliyemuoa mwanaume mwenzie awe baba wa ubatizo wa watoto wako?

Kama hilo huwezi na moyo unagoma, basi jua kuna tatizo kwenye maamuzi ya sasa ya kanisa!
Suala hapa si kukubali. Suala ni kuelewa. Ushoga na kubadilisha jinsia ni dhambi. Hawa watu walio kwenye hali hizi ni ndugu zetu. Matendo haya yamefanywa na yanafanya na ndugu zetu kwenye jamii zetu katika historia yote.

Wote walio katika hali hii, wanafanya kosa dhidi ya akili, dhambi sawasawa na wote ambao ni wezi, wazinzi, walawiti, wauaji, waongo, washiriki ibada za miungu, wakana Mungu n.k.

Tatizo la watu wengi duniani, bado hawajaelewa Mungu. Wengi hatujamjua Kristo. Bahati mbaya sana tatizo hili haliko tu kwa waamini walei peke yao ni pia kwa baadhi ya wakilero.

Tatizo la ushoga sio mambo ambayo yameanza hivi karibuni. Yamekuwepo tangu historia ya binadamu. Matendo haya yapo na yanafanyika kwenye jamii zetu popote duniani.

Kwa hiyo si kwamba Kanisa linashughulika na jambo ambalo halilifahamu. Kwa bahati mbaya, Kanisa lenyewe, baadhi ya wakirelo wake wamehusishwa kushiriki katika matendo hayo au yanayofanana na hayo.

Tunachotakiwa kujua ni kwamba Kanisa haliwezi kuruhusu au kupokea jambo ambalo bado halijalijua vema.

Kinachosikitisha sana kwa waafrika ni, kukataa tatizo hili kana kwamba kwenye jamii zatu halipo!

Pili, ni kudhani au kufikiri kwamba tatizo la ushoga na mengine yanayofanana na hayo yamesababishwa na wazungu.

Na wanao - engineer hili ni viongozi wa kisiasa ambao wameshindwa kuleta ustawi katika mataifa yao na viongozi wa madhehebu mbalimbali.

Tatu, waafrika hawapendi maarifa. Hawapendi kufanya utafiti. Hawapendi kuchunguza na kufuatilia mambo kwa kina. Yaani wafrika tunaweza kuwalinganisha na wayahudi wa nyakati za Yesu. Yesu aliwambia Wayahudi wa wakati wake kuwa: "Wao yaani Wayahudi wanapenda miujiza na Wagiriki wanapenda hekima yaani elimu.

Swali ni, Je! Kwanini mtu huyu au watu hawa wanajihusisha au wanafanya vitendo vya ushoga au kubadili jinsia na huyu au hawa hawafanyi?

Watu wanaojihusisha au kufanya matendo ya ushoga au kubadili jinsia ni watu wa aina gani?

Je! Tumejaribu kufuatilia hawa walio katika hali hii (Ushoga, Kubadili Jinsia na matendo mengine yanayofanana na hayo) hawana matatizo yoyote mathalani ya kiakili?

Au labda, tumefanya utafiti gani ambao umeonyesha kwamba kuwatenga au kuwakataa; au kuweka sheria kali dhidi yao ndio tiba na kuondoa tatizo la ushoga na mashoga kwenye jamii zetu?

Tunaitwa "Sura na mfano wa Mungu" kwa sababu binadamu ni mwenye akili. Tutumie akili ili Kuendeleza Mpango wa Mungu wa Uumbaji.
 
Wasabato acheni kuhangaika na Kanisa Katoliki enezeni injili yenu mpate kukua zaidi hivi mnavyothani mnalipaka matope Kanisa Katoliki ndio mnalikuza zaidi na zaidi.

Ni ushauri tu
 
Ni jambo jema kwa wakatoliki wenye dini yao, nyinyi weusi mliingiia cha kike....
 
Iko siku wale wenye kujitambua watakubaliana nami kwamba waafrika inatakiwa turudi kwenye imani zetu za asili na ujinga kama huu hatutauona kamwe.

Waafrika tunegeuzwa misukule kwa muda mrefu sana na wageni.
 
Ninachokijua ni kwamba viumbe vyooote, ikiwemo mashoga, vimeumbwa na Mungu. Na hua anasema anawapenda sana.

Kingine ninachokijua ni kwamba Mungu ni mjuzi na muweza wa vyote, hivyo ukiona anaruhusu jambo fulani kuwepo, basi ujue ana sababu zake za msingi sana zisizochunguzika. Kazi ya Mungu haina makosa.

Nakubaliana na Pope Francis....
Hujui chochote.Mungu hapendi mashoga na ushoga ndo maana aliangamiza Sodoma na gomora..msihalalishe upuuzi wenu.
 
Christianity siku hizi imekuwa kichekesho tumemuacha Mungu wa kweli na kumkumbatia shetani.kuanzia ukatoliki mpaka haya makanisa ya kiroho ni vichekesho tu.hapa chamsingi ni kumuabudu Mungu wa ukweli katika roho na kweli individualy kila mtu atahukumiwa pekeyake anyway.hakika hizi ni nyakati za mwisho mpaka usodoma na ugomora unaingizwa kwenye ukristo.chamsingi jitenge na dhambi.
 
Huwezi kuukuta huu ujinga kwa wasabato.
Wasabato walikuwa zaman enzi hizo lazma bint au mama uvae sket au gaun la marinda n.a kijana au baba surual iwe na linda kwenye mkanda mguu kipomo nchi 10 mpaka 14.....weng miiko yao wanaivunja....huu ni wakat ambao anguko la makanisa linakuja kwa kas.....!!!
Kama unalitegemea kanisa uUTAVUTWA TU na kama tumaini lako lipo kwa Mungu UTAPONA
 
Wasabato walikuwa zaman enzi hizo lazma bint au mama uvae sket au gaun la marinda n.a kijana au baba surual iwe na linda kwenye mkanda mguu kipomo nchi 10 mpaka 14.....weng miiko yao wanaivunja....huu ni wakat ambao anguko la makanisa linakuja kwa kas.....!!!
Kama unalitegemea kanisa uUTAVUTWA TU na kama tumaini lako lipo kwa Mungu UTAPONA
Kwa hali hii sitashangaa kuona wanaume wengi wanasilimu kuwa waislamu, Ukristo unatusaliti mbele ya macho yetu hasa waafrika kwa kiongiza mambo yaliyo kinyume kabisa na mila zetu.

Ukristoni wengi wataobaki ni wanawake, hawa ndio wanajaza hadi makanisa ya kina Masanja, huwezi mkuta mwanaume mwenye akili zake anaenda kanisa la Masanja,
 
Ninachokijua ni kwamba viumbe vyooote, ikiwemo mashoga, vimeumbwa na Mungu. Na hua anasema anawapenda sana.

Kingine ninachokijua ni kwamba Mungu ni mjuzi na muweza wa vyote, hivyo ukiona anaruhusu jambo fulani kuwepo, basi ujue ana sababu zake za msingi sana zisizochunguzika. Kazi ya Mungu haina makosa.

Nakubaliana na Pope Francis....
🤣🤣🤣Anaruhusu???
 
Kwa hali hii sitashangaa kuona wanaume wengi wanasilimu kuwa waislamu, Ukristo unatusaliti mbele ya macho yetu hasa waafrika kwa kiongiza mambo yaliyo kinyume kabisa na mila zetu.

Ukristoni wengi wataobaki ni wanawake, hawa ndio wanajaza hadi makanisa ya kina Masanja, huwezi mkuta mwanaume mwenye akili zake anaenda kanisa la Masanja,
Ukiangalia clip nyingi za wanasili si wanaume tu hata wanawake wanaslimu sana hasa ughaibuni
 
Back
Top Bottom