Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Wasabato wamekuwa wamchongo

Ukiwauliza wanasema wanaenda na wakati

Kuna msabato wakati naishi Buhongwa

Alikuwa ananidai kodi ya miezi mitatu,laki 180k

Nikajaribu kumpa siku ya sabato asubuhi

Nikajua atavunga,

Alizisundika mfukoni chaaap
Ha ha ha .....ukajua atavunga
 
Bora niende zangu uislamu.......kwa maana hawa jamaa hawafanyi editing kwenye mambo ya mungu........
Your welcome.... Ikiwa una swali lolote juu ya uislamu waweza uliza. Ikiwa unashaka juu ya fundisho lolote lenye ushahidi wa kimaandiko waweza hoji NASI tupo kusaidizana.
 
Sasa yesu kama hajahubiri Dini, NY inyi ukristo mmeutoa wapi?
Dini ni mawazo ya wanadamu ya namna ya kumtafuta Mungu. Yesu hakuja kuhubiri mawazo ya wanadamu bali alihubiri wokovu na msamaha wa dhambi. Yesu hakuja kuanzisha dini bali alileta msamaha wa dhambi duniani. Hicho ndicho mimi ninachohubiri, wokovu na msamaha wa dhambi tulioletewa ba Bwana Yesu. Watu wanapaswa kuachana na dini na kuja kwa Yesu wapokee msamaha wa dhambi na wokovu bure.
 
Tuliambiwa POPE Benedict aliamua kuachia ngazi kwa sababu ya kukataa upepo wa mabadiliko....

Wakatoliki tuombe sana Nyerere atangazwe Mtakatifu... ili hilo nalo awe ana liangalia huko mbinguni.
 
Back
Top Bottom