Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

Hujaelewa thread. Rudia tena

Hujaelewa thread. Rudia tena kusoma Hadi mwisho.
Nimeelewa sana. Kwenye post yako umeweka orodha ya dhambi ambazo unasema mtu akizifanya hataweza kusamehewa mpaka amwone mtumishi wa Mungu, tena akiwa na sadaka ya ukombozi. Mimi nasema hivi, hiyo sio kweli. Mtu yeyote akiamua kumrudia Bwana Yesu, hata kama awe amefanya maovu ya namna gani, Bwana Yesu ATAMSAMEHE BURE, bila ya kuhitaji kuombewa na mtu mmoja. Neno la Mungu linafundisha kuwa, mpatanishi kati ya Mungu na mwanadamu ni mmoja tu, naye ni YESU. Kama mpatanishi ji Yesu tu, huyo mtumishi anayetaka watu wakamwone ni wa kazi gani?
Tunapokea msamaha wa dhambi bure kwa njia ya imani tu. Hiyo sadaka ya ukombozi ni ya kazi gani wakati Yesu alishajitoa dhabihu kwa ajili ya dhambi za watu wote, pamoja na hizo ulizozitaja.
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa dhabihu ya Yesu haiwezi kumfanya mtu akasamehewa dhambi ya uzinzi au ushoga? Mwanadamu atatoa shilingi ngapi ili izidi thamani ya uhai wa Yesu?
 
Ungekuwa umeelewa, ungekubaliana na ufafanuzi nilotoa.

Bado hujaelewa narudia. Soma tena na tena, maana uelewa inatofautiana.
 
Na kuhani pekee aliyepewa kibali na Mungu cha kuondolea dhambi ni padre, askofu au Baba mtakatifu (Papa) tu.
Aondoaye dhambi Ni Yesu Kristo, na Damu ya Yesu inatosha kusafisha dhambi zote.

Kumhusisha mtumishi wa Mungu wa Kweli ni kupata tu msaada wa nini Cha kufanya Kwa dhambi hizo tajwa zenye mikataba na vifungo vya kipepo ambavyo Huwa haviondoki bila kuvunja maagano Kwa Utaratibu special.

Hiyo ni special case, Mchawi au aliyekuwa mganga wa kienyeji, kumaliza mapepo ndani yake Si KAZI ya siku moja,

Huwezi elewa kirahisi,

Acha ibaki hivyo hivyo. Lakini itoshe kusema, Kila kilichoandikwa hapo juu ni sahihi.
 
Yaani uzini na mke wa Jirani Yako sirini halafu utubu sirini?

Mwombee Mungu Roho mtakatifu akufunulie aloyasema mwenyewe kabla ya kupinga.
Acjeni kupotosha watu!! Wapi imeandikwa kwamba kwamba watu waende kwa wachungaji, acheni kuwatengenezea watu hofu ili mpige hela ya sadaka!!

Ingekuwa tunaishi kwa sheria hata wewe hapo usingekuwepo. Kutubu kweli ni kutoka moyoni mwa mtu, na damu ya Kristo inatosha kuosha dhambi zote!! Neema ya Kristo yatutosha.
 
Nikuulize,

Ukizini na mke wa Jirani Yako, unatubu sirini unasamehewa?

Mganga wa kienyeji mpiga ramli, anaweza kutubu sirini na mikataba ikamwondoka pekeake?

Kuona watumishi ni Kwa special case tajwa hapo juu,

Si Kila dhambi Inatakiwa ukatubu Kwa mtumishi.

Soma na rudia utaelewa.
 
Aondoaye dhambi Ni Yesu Kristo, na Damu ya Yesu inatosha kusafisha dhambi zote.

Kumhusisha mtumishi wa Mungu wa Kweli ni kupata tu msaada wa nini Cha kufanya Kwa dhambi hizo tajwa zenye mikataba na vifungo vya kipepo ambavyo Huwa haviondoki bila kuvunja maagano Kwa Utaratibu special.

Hiyo ni special case, Mchawi au aliyekuwa mganga wa kienyeji, kumaliza mapepo ndani yake Si KAZI ya siku moja,

Huwezi elewa kirahisi,

Acha ibaki hivyo hivyo. Lakini itoshe kusema, Kila kilichoandikwa hapo juu ni sahihi.
pale unapopeleka dhambi zako kwa mchungaji ambaye na yeye ametoka kuzini hata hajamalizana na Mungu. jua kuwa, hapa dunaini ambaye hajawahi kutenda dhambi ni Yesu tu, wengine wote tunaishi kwa neema tu kwasababu tupo mikononi mwa Yesu, kuna wakati tunamnyea mikononi tukitubu anatusamehe tunakuwa wapya, hautakiwi kushida sadaka yeyote unapoenda kutubu kama italazimika ukawa huna ujasiri ukahitaji msaada wa mwanadamu mwenzako msali pamoja. na sio lazima uende kwa mchungaji, kuna mazingira mchungaji anaweza kuwa hayupo, nenda sirini peke yako utubu Mungu anasamehe dhambi zote hizo ulizozitaja, bure. Yesu alishalipa deni. ninyi manabii wa uongo mnateseka sana kuona watu wamegundua njama zenu.
 
Nikuulize,

Ukizini na mke wa Jirani Yako, unatubu sirini unasamehewa?

Mganga wa kienyeji mpiga ramli, anaweza kutubu sirini na mikataba ikamwondoka pekeake?

Kuona watumishi ni Kwa special case tajwa hapo juu,

Si Kila dhambi Inatakiwa ukatubu Kwa mtumishi.

Soma na rudia utaelewa.
Onyesha neno katika Agano jipya kwenye hilo unalosema!! Onyesha sehemu ambayo Bwana Yesu katika mafundisho yake alisema mkizini nendeni kwa the so called Apostle, Manabii mkatubu?

Unakumbuka kisa cha mama waliyetaka kumpiga mawe, nn kilitokea? Unakumbuka yule mama wa kisimani nn kilitokea? Wote aliwaambia nendeni kwa manabiii mkatubu sivyo?
 
pale unapopeleka dhambi zako kwa mchungaji ambaye na yeye ametoka kuzini hata hajamalizana na Mungu. jua kuwa, hapa dunaini ambaye hajawahi kutenda dhambi ni Yesu tu, wengine wote tunaishi kwa neema tu kwasababu tupo mikononi mwa Yesu, kuna wakati tunamnyea mikononi tukitubu anatusamehe tunakuwa wapya, hautakiwi kushida sadaka yeyote unapoenda kutubu kama italazimika ukawa huna ujasiri ukahitaji msaada wa mwanadamu mwenzako msali pamoja. na sio lazima uende kwa mchungaji, kuna mazingira mchungaji anaweza kuwa hayupo, nenda sirini peke yako utubu Mungu anasamehe dhambi zote hizo ulizozitaja, bure. Yesu alishalipa deni. ninyi manabii wa uongo mnateseka sana kuona watu wamegundua njama zenu.
No comment!!
 
Hawa wamezoea kudanganya watu tu ili wapige sadaka!! Fundisheni neno la Mungu katika kweli acheni kutengeneza namna ya kupata sadaka!
 
Onyesha neno katika Agano jipya kwenye hilo unalosema!! Onyesha sehemu ambayo Bwana Yesu katika mafundisho yake alisema mkizini nendeni kwa the so called Apostle, Manabii mkatubu?

Unakumbuka kisa cha mama waliyetaka kumpiga mawe, nn kilitokea? Unakumbuka yule mama wa kisimani nn kilitokea? Wote aliwaambia nendeni kwa manabiii mkatubu sivyo?
Sauli alikuwa mwuaji!!

Yesu alipomtokea ,aliongea naye na kumwelekeza aende Kwa mtumishi wa Mungu.

Au hujasoma andiko Hilo nikuletee?

Itoshe kukuonyesha kuwa Si Kila dhambi unaweza tubu sirini ikaishia.

Iko hivyo.
 
Hebu niambie hapa, kazi ya hiyo sadaka ya ukombozi ni nini?
Kabla ya sadaka, unaamini kilichoandikwa hapo juu kuwa, zipo dhambi ambazo ukifanya huwezi tubu pekeako sirini Hadi umshirikishe mtumishi wa Mungu wa Kweli?

Na dhambi hizo ni zinazohusiana na UZINZI na UASHERATI na IBADA ya sanamu na uchawi?
 
Siamini kabisa katika hilo. Ninachokiamini ni kwamba, mpatanishi kati ya mwanadamu na Mungu ni Yesu tu. Leo hatuhitaji mpatanishi mwingine zaidi ya Yesu.
 
Hawa watumishi ukiwauliza swali je wewe toka uokoke hujawahi tenda dhambi mpaka leo, hawawezi jibu. Mwenye dhambi hawezi kumwongoza mwenye dhambi. Kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siamini kabisa katika hilo. Ninachokiamini ni kwamba, mpatanishi kati ya mwanadamu na Mungu ni Yesu tu. Leo hatuhitaji mpatanishi mwingine zaidi ya Yesu.
Kama huamini kilichoandikwa, Baki na unachoamini.

Lakini kilichoandikwa, ni Kweli, na Kweli haihitaji watu wengi Ili uthibitike.

Kweli ni ya Wachache, ni kama tu njia ya Mbinguni, ni nyembamba,

Endelea kuzini halafu jifungie chumbani kimya kimya ukitubu na kuamini imeishia hapo. ZINAA inahusisha watu watatu, mme mke, na Muiba mke. Ukitubu pekeako unajidanganya.

Amin usipokubali UKWELI huu na kugeukia na kutubu,nakuambia, Mahali Pako ni Kuzimu, na Baadae Jehanum.

Amen
 
Kama huamini kilichoandikwa, Baki na unachoamini.

Lakini kilichoandikwa, ni Kweli, na Kweli haihitaji watu wengi Ili uthibitike.

Kweli ni ya Wachache, ni kama tu njia ya Mbinguni, ni nyembamba,

Endelea kuzini halafu jifungie chumbani kimya kimya ukitubu na kuamini imeishia hapo. ZINAA inahusisha watu watatu, mme mke, na Muumba mke. Ukitubu pekeako unajidanganya.

Amin usipokubali UKWELI huu na kugeukia na kutubu,nakuambia, Mahali Pako ni Kuzimu, na Baadae Jehanum.

Amen
Pole sana, kwa hiyo wewe unazini kwa sababu una mtumishi wa kukuombea na unatoa sadaka ya ukombozi!
Mimi nimeokoka, huo ujinga uko mbali nami. Ninawafundisha watu njia ya kweli, ambayo ni Yesu Kristo.
Acha kuwadanganya watu, eti watoe sadaka ya ukombozi wakati Yesu alishatoa uhai wake kwa ajili yao.
 
ACHA KUPOTEZA MUDA KUWATISHA WATU, fanyeni toba iliyo ya kweli mtasamehewa.

Haya, assume unatubu kwa mchungaji au padre alafu yeye ametoka kufanya dhambi kama yako na hajatubu?
 
Pole sana, kwa hiyo wewe unazini kwa sababu una mtumishi wa kukuombea na unatoa sadaka ya ukombozi!
Mimi nimeokoka, huo ujinga uko mbali nami. Ninawafundisha watu njia ya kweli, ambayo ni Yesu Kristo.
Acha kuwadanganya watu, eti watoe sadaka ya ukombozi wakati Yesu alishatoa uhai wake kwa ajili yao.
Unawafundisha waumini wako wawe wanakulana halafu watubu kimya kimya sirini Kwamba Damu ya Yesu inatosha?

IPO siku, muumini wako atashikwa ugoni amezini Kisha wewe ukienda pale Wambie kuwa Kila Mmoja akajifungie chumbani kwake atubu kivyake, kama utaeleweka!!
 
Pole sana, umenisikia nikifundisha watu kufanya uchafu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom