Recent content by KUNI

  1. K

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Hapa Yesu ameweka msisitizo wa kuwa na mwanamke bikra. Mwanamke used, siyo single mother tu; kwa mujibu wa nukuu hii hafai.
  2. K

    Utata wa swali hili ni kama halina majibu

    Nadhani yeye swali lake halijajikita kwenye infinite cause and effect pattern. Kwenye maelezo yake amekuwa specific kutaka kujua sababu ya mtu specific based on his/her specific purpose on the earth. Kwamba wewe Kiranga lengo lako hapa duniani ni nini...unataka ku-achieve nini na utajuaje kuwa...
  3. K

    Utata wa swali hili ni kama halina majibu

    Nadhani hapa unakuwa unazungumzia jinsi (how) alivyokuja duniani. Maelezo uliyoyatoa hayasadifu sababu moja kwa moja.
  4. K

    Unanishauri vipi kuhusu kitabu cha Ngaiza?

    Physical chemistry ya Ngaiza ni nzuri sana kuzidi physical ya Mzumbe. Vyote nimetumia, ila physical ya Ngaiza acha kabisa, ni level nyingine.
  5. K

    Kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa?

    Kwani binadamu tukitoweka duniani hasara yake ni nini?
  6. K

    Kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa?

    Swali la msingi zaidi linaweza kuwa binadamu tuliopo tutapata hasara gani tukiamua kutozaliana na kuhitimisha uwepo wa binadamu duniani ?
  7. K

    Dark days 17/03/20...

    Mzee ni LUKU ya tanesco + alama ya utambulisho wa wale wa ufipani na uknown ni yule mzee aliyefanya wanaufipa wazungushe mikono 2015. Nimekunong'oneza vizuri au nimekutekenya tu?
  8. K

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Argument, and early advocates of this line of reasoning included Plato, Aristotle, and St. Thomas Aquinas. It's predicated on the assumption that every event must have a cause, and that cause in turn must have a cause, and on and on and on. Assuming there's no end to this regression of causes...
  9. K

    PCB inanisumbua naombeni ushauri

    Umetisha sana Van De Beek ! T14 Armata anashangilia kumaliza organic yote kwa wiki tatu!! Wiki tatu organic ya five na six.....alafu ya form four itachukua muda gani....? Siku tatu?!
  10. K

    PCB inanisumbua naombeni ushauri

    Na biology alikuwa anafundisha saa ngapi....? Na walimu wengine walikuwa wanafundisha saa ngapi kwa siku?
  11. K

    PCB inanisumbua naombeni ushauri

    Mwalimu mzuri aliye deep hawezi kumaliza organic yote kwa week tatu labda awe anafundisha saa 5 kwa siku! Mwalimu mbovu aliye shallow ndo anaweza kumaliza organic kwa muda huo. Fuatilia hata walimu wakongwe kama Mkandawile uone wanafundishaje.
  12. K

    PCB inanisumbua naombeni ushauri

    Kwa comment hii sasa nimemwelewa Van De Beek alivyosema kwamba organic ya issue boy ni organic ya wavivu. Na nimekuelewa wewe pia kuwa unapima uzuri wa mwalimu katika ufundishaji kwa kuwahi kumaliza topic.
  13. K

    PCB inanisumbua naombeni ushauri

    Kwa hiyo wewe Organic ulibahatika kufundishwa na wote, Ngaiza na Issue boy?
  14. K

    Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

    Acha kujifafanya mjuaji kwa vitu usivyo na hakika navyo. TOP TEN BEST FORM SIX STUDENTS NECTA 2012, Click hiyo link kisha urudi hapa.
Back
Top Bottom