PCB inanisumbua naombeni ushauri

Form Five muda bado unao. Likizo yenu inaisha sijui uko mkoa gani unasomea na unakuwa likizo wapi. Ungepiga papers za kujiinua na tuitions za kukubeba kama walimu hawako vizuri sana shuleni. Kama walimu wako poa ila wewe ndio huelewi piga disc na watu wanaojua afu kuwa na vitini vyako unavyotumia wala usichanganye materials.

Mimi nilisoma kwa Issue Boy (Josephat) Biology na Chemistry kisha Mgote Physics. Organic nilisoma ya Ngaiza imejaza kila kitu afu Inorganic nilisoma ya Issue Boy. Yani ukichanganya madesa hutoboi utachanganyikiwa. Kuna muda nilikuwa sisomi notes za mwalimu ambaye alikuwa vizuri sana kwa vile nishasoma kwingine, kwake nafanya mifano aliyotoa nikiipiga nishamuelewa, nisipoelewa najua nalag behind. Unaweza soma sana afu kumbe tactics mbovu.

Ni kawaida sana kukata tamaa ukiwa A level. Ila ni kawaida sana tena sana kupindua meza, hili wengi niliona waliweza. Jiulize una mademu, shule mnabanwa au mnazurula mitaani, unalewa au kuvuta, unashiriki makandokando kama dancing, kuwa mtumishi kupitiliza au mpira. Punguza baadhi ya vitu vinavyokula muda.

Usiwe na mkumbo wala kujilinganisha na watu kwenye kipato, uwezo kiakili, muda wa kusoma na mengine. Pia kuwa emotional stable, sio leo umeachika kwa Winnie mara Jane anakuzingua, kesho umekamatwa na simu au umetoroka ukaitwa kwa discipline master. Zoea kwenda dini ila usifie uko, kuna majinga yalikuwa yanalala kanisani eti yanalinda vyombo.

Ningeshauri mengi kama ningekuuliza kwanza afu nikajua situation. Ila hapa nimepiga kiujumla. Mimi nilikuwa na kasoro ila zilikuwa zinazidiwa na mchanganyiko wa mambo mazuri mengi.

IMG20210405150216.jpg
 
Shukrani
Form Five muda bado unao. Likizo yenu inaisha sijui uko mkoa gani unasomea na unakuwa likizo wapi. Ungepiga papers za kujiinua na tuitions za kukubeba kama walimu hawako vizuri sana shuleni.
Kama walimu wako poa ila wewe ndio huelewi piga disc na watu wanaojua afu kuwa na vitini vyako unavyotumia wala usichanganye materials.

Mimi nilisoma kwa Issue Boy (Josephat) Biology na Chemistry kisha Mgote Physics. Organic nilisoma ya Ngaiza imejaza kila kitu afu Inorganic nilisoma ya Issue Boy. Yani ukichanganya madesa hutoboi utachanganyikiwa. Kuna muda nilikuwa sisomi notes za mwalimu ambaye alikuwa vizuri sana kwa vile nishasoma kwingine, kwake nafanya mifano aliyotoa nikiipiga nishamuelewa, nisipoelewa najua nalag behind. Unaweza soma sana afu kumbe tactics mbovu.

Ni kawaida sana kukata tamaa ukiwa A level. Ila ni kawaida sana tena sana kupindua meza, hili wengi niliona waliweza. Jiulize una mademu, shule mnabanwa au mnazurula mitaani, unalewa au kuvuta, unashiriki makandokando kama dancing, kuwa mtumishi kupitiliza au mpira. Punguza baadhi ya vitu vinavyokula muda.

Usiwe na mkumbo wala kujilinganisha na watu kwenye kipato, uwezo kiakili, muda wa kusoma na mengine. Pia kuwa emotional stable, sio leo umeachika kwa Winnie mara Jane anakuzingua, kesho umekamatwa na simu au umetoroka ukaitwa kwa discipline master. Zoea kwenda dini ila usifie uko, kuna majinga yalikuwa yanalala kanisani eti yanalinda vyombo.

Ningeshauri mengi kama ningekuuliza kwanza afu nikajua situation. Ila hapa nimepiga kiujumla. Mimi nilikuwa na kasoro ila zilikuwa zinazidiwa na mchanganyiko wa mambo mazuri mengi.
View attachment 1744149
 
Siwezi kukwambia ukomae sana koz nimesoma advance hyo hyo combination wapo waliokua wakikomaa sana kusoma ila hawa kua na matokeo mazuri cha msingi angalia results kama hazi rizishi kila siku tafuta mbadala usikomae na hicho kitu
Hama combination bado mapema au anza na udaktari ngazi ya cheti na diploma
 
Organic ya issue boy ya watu wavivu hii.....tuliipenda sisi wavivu
Ilikuwa hairidhishi ila unajua nini Issue Boy alikuwa anafundisha vizuri Organic kuliko Ngaiza amini usiamini ila Ngaiza alikuwa ana notes nzuri za Organic. Niliisoma kwa Issue Boy ila hata mwenyewe alisema kuandika notes ni kipaji kama unaona notes zake huelewi ni vema ukatumia za Ngaiza.

Ila walimu wa tuition walikuwa balaa unafyatua swali from nowhere unakuja kumkomoa kabla hajalijibu anakwambia ulikolipata na limetoka kwenye mtihani gani.
 
Kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyoeleza .jamani ndugu wanna jf nilikua naomba ushauri jinsi gani nitaweza kuovercome hi depression na hii combination mana hata nikisoma naona Mambo yanaenda tofauti hususani kwenye chemistry .naomba ushauri wenu Mimi nipo kidato Cha tano
Kama combination yenyewe ilivyo People Confusing Brain(PCB) inatakiwa uvute soksi mkuu
 
Siwezi kukwambia ukomae sana koz nimesoma advance hyo hyo combination wapo waliokua wakikomaa sana kusoma ila hawa kua na matokeo mazuri cha msingi angalia results kama hazi rizishi kila siku tafuta mbadala usikomae na hicho kitu
Hama combination bado mapema au anza na udaktari ngazi ya cheti na diploma
Waliokuwa wanaibuka na kutoboa ni mbinu walikuwa wanakosa. Wengine uwezo mdogo sijui wanasahau haraka, kusoma kwingi mambo wanayo machache ila wanazingua.

Hiyo kubadili combination sikubaliani maana kasema somo moja linamsumbua. Wanabadili kama anaona nyota masomo mawili au yote. Then kwa wakati huu sidhani kama ni sahihi kuanzia udaktari diploma, atatumia nguvu nyingi mno. Bora akomae kwa kubadili mbinu kwanza.
 
Currently PCB n ufaulu n mkubwa Sana tofaut na zaman ufaul ulkuwa mdogo Sana

So Cha msngi angalia safari yako inakutatza wap mfano Kama kwenye chemistry unasmbuka na organic means that you need more time to make sure that hyo organic unaptia kwa madesa au vtabu tofaut ilj upate knowledge

Kama mtangjlza Wang mmoja hapo kasema kusoma n Kama tact so usje ukajikta unaipende Sana topic unayoiweza kuisoma kila sku kulko Ile unayoiweza so utakuwa unapoteza muda wako

For more and ask l will reply
 
Kwa hiyo wewe Organic ulibahatika kufundishwa na wote, Ngaiza na Issue boy?

Back
Top Bottom