Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 4,779
- 18,225
Hapa, Kwa tafsiri ya mada hii tu.Kwani tafsiri ya single maza ni mwanamke aliyeolewa na kuachwa?
Hapa, Kwa tafsiri ya mada hii tu.Kwani tafsiri ya single maza ni mwanamke aliyeolewa na kuachwa?
Poa tuKama wasema cha nini wenzio husema watakipata lini
Hayupo apendae au kujiamulia tu kuwa single mamasingle moms kazi mnayo...
Hata Malaya,waasherati ukutanisha vikojoleo hapo ndoa ipo wapiKatika ulimwengu wa roho, ndoa Ni lile tendo la kukutanisha vikojoleo. Ndoa siyo harusi
Hao sio laana mkuu, hujaelewa tu Bible na umeamua uitumie vibaya kuwakandia.....
Mtu anaweza akaachwa na Mumewe ila sababu ni mumewe ndio mkorofi so sio laana!
Kuna watu huku wamelelewa na masingle mother na kwao alikua baba na akawa mama ukimwambia mama yako ni laana na amempambania sidhani kama atakuelewa hata kidogo!
Pale imeonyesha kua tu siruhusa kumuacha mke wako, ama ukimuacha usioe na yeye aliyeachwa asiolewe tena, simple tu!
nafahamu hilo... kwasababu kutunza (kuzuia) mshawasha (nyege) ni kama kupiga chafya, zinakuja tuHayupo apendae au kujiamulia tu kuwa single mama
Kama unataka amani ya moyo , Usioe binti aliye lelewa na mama yake tuu bila uwepo hata wa mjomba au baba wadogo au wakubwa , isipo kua tuu kama kalelewa na mama kutokana na Baba yake alifariki kwa sababu asili za kibinadamu na hakuna mjomba/ baba mdogo / baba mkubwa kutoka kwenye koo ya asili ya baba yake mzazi aliye fariki na siyo vinginevyoHao sio laana mkuu, hujaelewa tu Bible na umeamua uitumie vibaya kuwakandia.....
Mtu anaweza akaachwa na Mumewe ila sababu ni mumewe ndio mkorofi so sio laana!
Kuna watu huku wamelelewa na masingle mother na kwao alikua baba na akawa mama ukimwambia mama yako ni laana na amempambania sidhani kama atakuelewa hata kidogo!
Pale imeonyesha kua tu siruhusa kumuacha mke wako, ama ukimuacha usioe na yeye aliyeachwa asiolewe tena, simple tu!
Hapa Yesu ameweka msisitizo wa kuwa na mwanamke bikra. Mwanamke used, siyo single mother tu; kwa mujibu wa nukuu hii hafai.Tafsiri ya single moms katika uzi huu ni wale wanawake ambao wanaume waliowazalisha wapo hai (hawajafa, siyo vichaa, na hawajafungwa gerezani) lakini kwa sababu yeyote butu, wameachana na waume zao.
Yesu, mjumbe wa habari njema ametukataza sisi wanaume kuoa single moms.
Mathayo 5:32
"Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini."
Mkuu kuoa tabia ya mtu hailazimishwi kulingana na baba kuachana na mama, watu wanatofautiana, sio kila Mwajabu utakayekutana nae basi ana maajabu!Kama unataka amani ya moyo , Usioe binti aliye lelewa na mama yake tuu bila uwepo hata wa mjomba au baba wadogo au wakubwa , isipo kua tuu kama kalelewa na mama kutokana na Baba yake alifariki kwa sababu asili za kibinadamu na hakuna mjomba/ baba mdogo / baba mkubwa kutoka kwenye koo ya asili ya baba yake mzazi aliye fariki na siyo vinginevyo
washaunga uzi eeh, maana sielewiNilivyoona hii habari jana ya mama kutaka mwanae azikwe kiislamu ndo nilihitimisha utafiti wangu kwa kutamka hadharani USIOE SINGLE MOTHER NI HATARI MNO KWA MAISHA YAKO. Labda wanaJF tumsikilize mtukufu dronedrake huenda akawa na maoni tofauti kwenye hili.
Hii habari ina mkanganyiko.Dada mmoja alikuwa na bwana wake mwarabu muislamu. Alitembea nae mpaka ikafikia kubeba mimba. Yule mwarabu aliikataa mimba ya huyu dada na dada akabeba ujauzito mpaka alipopata mtoto africast wa kiarabu..
Mwarabu hakujali. Aliendelea kumkataa dada huyo na Alimtelekeza mtoto.
Dada akakomaa kulea mwenyewe kwa kuunga baadae akaja kupata bwana wa kichaga mkristo. Mchaga huyu akanogewa na penzi la huyo dada na kufikia dada huyo wa kiislam kubadili dini na kufunga ndoa ya kikristo na huyo bwana mchaga.
Dada na mwanae wakawa wote wanaishi na mume wake huyo mchaga. Na alikuwa anamuhudumia mtoto na kumsomesha bila ubaguzi wowote.
Baada ya kuishi miaka kazaa, bahati mbaya huyo mtoto wa dada aliyezaa na mwarabu akafariki dunia.
Msiba ukafanyika nyumbani kwao kwa taratibu za kikristo kwa kushirikiana na kanisa ambalo walikuwa wanasali . Maana hata mtoto alikuwa anaenda kanisani na wazazi wake baba na mama.
Ghafla siku ya mazishi dada akabadilika na kugoma mwanae asizikwe kwa taratibu za kikristo azikwe kiislamu. Maana hata kama baba yake alimtelekeza haiondoi uhalisia kwamba mtoto huyo mwarabu baba yake ni muislamu.
Bonge la seke seke likatokea msibani
Tazama video mwenyewe.
HII IMENIFANYA NIWAELEWE WANAUME WANAOKATAA SINGLE MOTHER
Nyuzi nyingi humu zinakosa better flow kwasababu ya kuunganishwa unganishwa...washaunga uzi eeh, maana sielewi