Recent content by kalengamab

  1. K

    Kumbe Wabunge wengi wa CHADEMA hawana Elimu ya Juu Kabisa!

    Watakuwaje na elimu ya juu wakati mliwaokota mitaani: maDJ, wezi wa magari nk?
  2. K

    Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Swala hapa si Je Tutapona, ila ni Je wazushi tutasalimika?
  3. K

    Wahusika wakuu wa Makontena bandarini hawa hapa

    Ama kweli JF ni kijiwe! Sioni logic kabisa ya picha hizo kuwa ushahidi wa makontena yaliyodokolewa na TRA! Picha ambayo huyo Mwarabu alipiga na Mwakyembe nakumbuka ilikuwa China mwaka jana kwenye mkutano wa wafanyabiashara ambao hata mimi nilishiriki nikiwakilisha wakulima wa mazao mchanganyiko...
  4. K

    Dr. Mwakyembe ni 'mtendaji mwenye weledi'

    Shallow analysis iliyojaa umbea tu. In short, to quote Mzee Mkapa, wewe ni Mpumbavu tu. Mwacheni Mwakyembe atumie elimu yake kuwa-zodoa akina Lowassa ambao nyie mnawaabudu!
  5. K

    Dr. Mwakyembe ni 'mtendaji mwenye weledi'

    Nadhani wewe unastahili neno alilotoa mzee Mkapa majuzi: Mpumbavu!
  6. K

    Mwakyembe aelezea suala la mabehewa feki, ajibu yaliyoandikwa Nipashe

    Well said! Udaku usio na substance umezidi humu. If you have personal grievances with Mwakyembe, settle them elsewhere not here! Kama huna ushahidi na kama hujasoma sheria ya manunuzi, just SHUT UP. Mnatu"bore"! Ama sivyo tutakuita jina alilotoa Mzee Mkapa: PUMBAVU!
  7. K

    Mnyika is the most brilliant lawmaker!

    zitto ni mjanja. Aliishupalia issue ya ESCROW kupumbaza watu wasione jinsi alivyowachomoa IPTL fedha ati ya "kumtibia" mama yake! Anachomoa fedha TANAPA, huku akikoroma kuhusu ubadhirifu!
  8. K

    Mtoto wa Kigogo ahonga sh.40m/= na kukabidhiwa Faili la Ugonjwa wa Mwakyembe

    Mtoto mmoja wa kigogo anayetamba kwa utajiri nchini amefanikiwa kupata faili la ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe kwa kuwahonga maafisa wa Wizara ya Afya sh. mil. 40/= na sasa anafikiria kuichapisha kwenye moja ya magazeti yanayomilikiwa na tajiri mmoja nchini...
  9. K

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Mkuu, rahisi kusema ukiwa umejikunyata nyuma ya jina feki la "director" kumzungumzia mtu ambaye kapitia misukomisuko mingi ambayo imechangia kupanua demokrasia nchini. Umdharau, usimdharau hayo yako na mkewe, lakini Watanzania makini tunamwelewa Mwakyemne anaposema Serikali itangulie kwanza...
  10. K

    Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

    Duh! Mkuu, kama wewe taarifa hiyo inakupa kichefuchefu, mezea! Tuachie wenzako tunaoelimika kwa hoja na taarifa mbalimbali zinazobubujika humu! Usisahau kuwa hii ni forum "where we dare talk openly"!
  11. K

    Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

    JokaKuu, unapinga nini na unaunga mkono nini? Mtoa hoja anamwambia Lowassa madudu aliyafanya kati ya Aprili na Juni. Wazo lake la kuvunja mkataba lilikuja mwezi wa nane, miezi miwili baada ya mkataba kati ya Richmond na TANESCO kusainiwa. Kwa hiyo hawezi kukwepa lawama kwa kisingizio cha kutaka...
  12. K

    MwanaHalisi laivua nguo Tume ya Uchaguzi

    naionea huruma tanzania ikiwa kubenea na mwanahalisi yake, ambalo ni baragumu la chadema piga ua, ambalo linavuta michuzi kilaini kutoka kwa msomali bashe (kupitia kwa mkurdi rostam na mmasai wa kuandikishwa lowassa) alimradi kikwete na ccm wanaandikwa vibaya, anageuka kuwa "source" ya...
Back
Top Bottom