Aliyefichua Ufisadi TRL afariki saa chache baada ya Mabosi zake kutimuliwa Kazi na Waziri!

[h=2]TRL Scandal whistle blower dies few hours after Minister sacks his bosses[/h]
TRL_new+freghts.jpg


TRL new freight wagons
By Katare Mbashiru, The Citizen Reporter

Posted Saturday, April 18 2015 at 11:23

IN SUMMARY
Tanzania Railway Authority Workers’ Union (Trawu) secretary general Erasto Kihwele died in the wee hours on Friday after suffering from diabetes and hypertension, according to his deputy, Mr Boaz Nyakeke.


Dar es Salaam. A man who revealed irregularities in buying 25 freight wagons worth Sh230 billion died yesterday, just few hours after five top railways officials, were suspended on suspicion of corruption and sabotage.


Tanzania Railway Authority Workers’ Union (Trawu) secretary general Erasto Kihwele died in the wee hours on Friday after suffering from diabetes and hypertension, according to his deputy, Mr Boaz Nyakeke.

His death came barely 17 hours after Transport Minister, Samuel Sitta sent packing Managing Director Kipallo Kisamfu along with Chief Engineer Ngosomwile Ngosomile, Chief Accountant Mbaraka Mchopa, Internal Auditor Jasper Kisiraga and Chief Procurement Manager Fedinard Soka.

The move came after a report by a taskforce formed by his predecessor, Dr Harrison Mwakyembe, which was charged with investigating claims that the wagons that were imported were faulty.

Kiwhele, was a front runner in pushing for an appropriate disciplinary action against officials who were implicated in the purchase of substandard wagons. The whistle blower, pushed for a commission of inquiry to investigate the matter.

“He was every time reminding the minister and other top officials in the ministry to take action,’’ said Nyakeke.

He told The Citizen in an interview yesterday that he received news of the death of Kiwhele with profound shock.

On what caused his death, Mr Nyakeke said his boss fell sick for the first time on March 29, just nineteen days ago. On that day according to him, he was rushed to Amana hospital before he was referred to Muhimbili National Hospital (MNH) on the same day.

“He was admitted at MNH for 15 days because he was treated and discharged on April 13 after his health became stable,” he added.

But, his health deteriorated again. He was rushed to Herbert Kairuki Memorial Hospital on April 15. He died yesterday. Kiwhele succeeded former Trawu secretary-general, Silvester Rwegasira, who also died in April 2011.

The outspoken Trawu leader died at Dar Group Hospital, where he was rushed for treatment just hours before attending an important meeting on TRL and Tazara workers’ welfare, after workers had downed their tools.
[/QUOTE

Tuache porojo Watanzania! Kihwele alikuwa anaumwa siku nyingi! Mbona hakufa Mwakyembe alipoondoa Bodi yote ya manunuzi ya TRL na kuwasimamisha kazi akina Eng. Ngosomwile waliokwenda India kukagua mabehewa? Mbona hakufa Mwakyembe alipoipa TAKUKURU kazi ya kuchunguza rushwa kwenye sakata hilo? Au mnadhani sakata hili limeanzishwa jana na Mzee Sitta? Mzee Sitta ni msanii tu wa kudandia hoja zilizoanzishwa na Mwakyembe! Anawasimamisha kazi akina Ngosomwile mara ya pili! Ndo maana Kapuya alishawahi kusema Sitta haaminiki, Hana rafiki wa kudumu! Angalia sasa mzee mzima bila aibu anavyojaribu kila kukicha "kuibua" mambo aliyokwishaibuliwa na Mwakyembe ili ammalize Mwakyembe (ambaye amekuwa akimwita Mdogo wake) kwa uchu tu wa Urais ambao hataupata kwa njia za kisaniisanii. Namwambia Mwakyembe: Sitta Noma!
 
kama mpaka sasa ajapatikana aliyemuua Mwangosi alhali picha inaonyesha alivyouwawa hapo hakuna lolote kwa hawa polisi wetu
 
Akili inayozingatia ujumbe ni muhimu kuliko kichwa na macho yanayoangalia picha!!

Hivi ule msemo (a photo is worthy a thousand words) kuwa picha inafikisha ujumbe kwa urahisi na undani kuliko text kwako wewe ni bra bra tu.

Kama sikuzingatia ujumbe ningeona vipi hiyo tofauti.
 
Hakuna haja ya kuweka tuhuma zisizo kuwa na maana,hiyo ni njia ya kila mwana damu yeyote.
 
Hatutakiwi kukata tamaa katika kufichua maovu hapa nchini. Mathalan watu wote tutakufa, tusiogope kutangulia. Watatufuata tu. RIP Kiwhele na wote wanaopigania rasilimali za Watanzania. Hakika vifo vyenu vitakuwa chachu ya kusaka haki kwa vizazi vyenu na kwa taifa kwa ujumla.
 
Hiki ni kifo cha kawaida kilichosababishwa na kisukari na hypertension kwa mujibu wa habari hapo juu. Haya mengine ni tetesi tu ambao hazina ushahodi wowote.

... I wish you had known kuwa pale inapobidi, kisukari na hypertension hutengenezwa pia.
Really profound shock.
Watch out!
 
Lakini utambue kuwa Mwakyembe ndiye aliyeunda tume ya uchunguzi wa ununuzi tata wa mabehewa. Sitta kaletewa taarifa na kuifanyia kazi kwa kuwa Mwakyembe alishahamishwa wizara. Soma vizuri taarifa hiyo juu.
Najua kuwa Mwakyembe ...................................
 
Mafisadi wa nchi hii ni hatari Sana. Unapojaribu kukata Marija yao ya ulaji ujue maisha yako yapo hatarini sana.
 
Ngoso wa Ngoso.....

Lakin mhandisi hapaswi awe fisadi

Mkuu kwani ni fani gani wanaruhusiwa kuwa mafisadi??!!

Tatizo la hii nchi system yote imeoza. Wanaopaswa kukemea au kuwachukulia hatua mafisadi wenyewe ndiyo vinara wa ufisadi!

Imefika hatua kama mtu umepewa wadhifa, ukajifanya mwadilifu unaonekana hufiti kwenye system.....watakutema tu!

Kuondokana na hili tatizo inatakiwa "complete overhaul" ya uongozi uliopo, kwani umeshindwa!!

October ndiyo wakati wa kuamua kama tunataka kuendelea kulea ufisadi au la...!!
 
Back
Top Bottom