Recent content by jdkisiwa

  1. J

    mapenz haya!

    he!! ndo Lipo moja?
  2. J

    balaa hili simu za polisi

    Wakati benki inavamiwa, nikapiga 112 nikajibiwa KARIBU JESHI LA POLISI TANZANIA KITENGO CHA DHARULA, for kiswahili press 1 for english press 2, nikabonyeza 1, sauti ikasema kwa ajali ya barabarani au moto bonyeza 1 kwa ujambazi bonyeza 2, nikabonyeza 2, sauti ikasema: kama majambazi...
  3. J

    Mapenz haya

    Mpenzi wako anakwambia wewe ndo ua pekee kwenye bustani yake unatabasamu kwa furaha unaona wewe ndo wewe. Hivi bustani gani ina ua moja tu?!
  4. J

    mapenz haya!

    Mpenzi wako anakwambia wewe ndo ua pekee kwenye bustani yake unatabasamu kwa furaha unaona wewe ndo wewe. Hivi bustani gani ina ua moja tu?!
  5. J

    Bunge letu na kura za mayowe 'NDIYO' 'SIYO'

    hahahaa lol!!? mheshimiwa haututendei haki sisi wa sio
  6. J

    Ungekuwa mzazi wa huyu binti ungetoa uamzi gani kwa boyfriend wake (John)

    majoni tuko smart sana yan, huwez kulalia nguo za kanisani bwana
  7. J

    Utajuaje amenunua simu jana?

    anakubp ukimpigia anakwambia "haudipwiki?"
  8. J

    msaada please

    kwa aliyeifuatilia ISIDINGO toka mwanzoni naomba aniadithie nataka nianze kuifuatilia pia
  9. J

    kwa waoaji...

    Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha!Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee msichana wa watu Gheto kwako uishi nae kinyumba ,ila kuoa jasho la meno litakutoka. Ukipeleka Ombi la kuoa...
  10. J

    Obama akirud ghafla

    hatimaye Dar inarudi katika asili yake, Obama akirud ghafla atahis amepelekwa sehem nyingine, hatoamini huo uchafu, folen, wamachinga, harufu, umeme umekatika, maji hamna, mgomo wa waalim na madoctor naaaaaaa enh! ngoja nifanye yangu mie
  11. J

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    wakurya?
  12. J

    Zuzu na Watoto

    duh! huyo zuzu kweli kweli
Back
Top Bottom