balaa hili simu za polisi

jdkisiwa

Member
Dec 19, 2012
14
6
Wakati benki inavamiwa, nikapiga 112
nikajibiwa KARIBU JESHI LA POLISI
TANZANIA
KITENGO CHA DHARULA, for kiswahili
press 1 for
english press 2, nikabonyeza 1, sauti
ikasema kwa
ajali ya barabarani au moto bonyeza 1
kwa
ujambazi bonyeza 2, nikabonyeza 2,
sauti ikasema:
kama majambazi wana rungu, panga na
visu
bonyeza 1, pisto 2, SMG 3, AK 47
bonyeza 4,
bomu 5 kama wanavyo vyote bonyeza
6,
nikabonyeza 6.
Sauti ikasema "mmh..! Ndugu yangu
ungekuwa wewe ni polisi ungeenda
kweli..??!!"
 
Back
Top Bottom