Zuzu na Watoto

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Zuzu m1 kapita sehemu fulani akawakuta watoto wanacheza akawadanganya;
'Nyie nendeni kule kunachakula kinagaiwa' Wale watoto wakatimua mbioooo.
Zuzu akajisemea moyoni, "mbona wanakimbia sana labda kunachakula kweli"
Nae mbio!
 
we kweli zuzu,siku nyingine usipost vichekesho vya zamani na ambavyo havina mashiko.

sio vizuri kukatishana tamaa humu JF na kutoleana maneno ya kumkatisha mtu tamaa eti VICHEKESHO VYA ZAMANI NA AMBAVYO HAVINA MASHIKO. vichekesho ni vichekesho hata viwe vya zamani kiasi gani bado ni vichekesho sasa hayo mashiko unayoyataka wewe hayapo kwenye jukwaa hili, sio vizuri kabisa kumbuka kuwa JF kila siku kuna new registered members
 
hajamkatisha tamaa mkuu amem-joke tu, na hapa ndo mahali pake
 
Huyu anaemponda mwenzie atulie kama yeye wazamani asepe si lazima kucheka, zuzu lete tuu hata kama kimchekesho kimetoka jana we lete tuu
 
Zuzu m1 kapita sehemu fulani akawakuta watoto wanacheza akawadanganya;
'Nyie nendeni kule kunachakula kinagaiwa' Wale watoto wakatimua mbioooo.
Zuzu akajisemea moyoni, "mbona wanakimbia sana labda kunachakula kweli"
Nae mbio!

duh! huyo zuzu kweli kweli
 
kweli upo sahihi kabisa!!wengine wapo kwa ajili kukatisha tamaa tu!!kwani hata kama cha zaman ukisoa na ukakaa kimya utapungukiwa na nini??tatizo kutaka kujifanya wapo JF toka enzi za ujamaa na kujitegemea!!sio vizuri kabisa
 
sio vizuri kukatishana tamaa humu JF na kutoleana maneno ya kumkatisha mtu tamaa eti VICHEKESHO VYA ZAMANI NA AMBAVYO HAVINA MASHIKO. vichekesho ni vichekesho hata viwe vya zamani kiasi gani bado ni vichekesho sasa hayo mashiko unayoyataka wewe hayapo kwenye jukwaa hili, sio vizuri kabisa kumbuka kuwa JF kila siku kuna new registered members

Afadhali umelisema hilo mkuu,kuna watu kazi yao kukatisha wengine tamaa.
 
Back
Top Bottom