Recent content by Ivilikinge

  1. I

    Natafuta mkopo

    Nahaitaji sana mkopo wa one million narudisha ndani ya miezi miwili kwa riba ya laki na nusu jamani nisaidieni nimlipie wife ada
  2. I

    Warembo wa Wiki..

    we nyani ngabu acha ujinga hivi hizo pochi za LV zinauzwa million ngapi?maana sioni uhusiano wa kubeba pochi ya LV ya ukweli na kupanda daladala watu wanapata ajali sana na magari nowadays na una gari moja na umetumia zote weekend unafanyaje????acha ulimbukeni wa magari wewe nchi za wazentu...
  3. I

    Mchango wa Babu Seya na Papii Kocha

    wewe akili kichwani nadhani hujui unachokiongea,hivi nani kadhibitisha kuwa wale walifanya huo uchafu,jiulize swali dogo2 wote wilishitakiwa mwanzo kwa kosa hilo leo wengine wanaachiwa wanasema hawakutenda hapo unapaonaje ndugu??mimi mwenyewe mwanasheria lakini ndugu sheria zinapindishwa sana...
  4. I

    Wanyakyusa "enzi za Mwalimu" Kiswahili kiliwatesa mno!

    kiranja mkuu mambo vipi kaka,ebwana we wa kwetu umenikumbusha Lejiko mitaa yangu sana enzi hizo,anakupenda sana Mbeya sema maisha tu tunabanana hapa kwenye joto na foleni za kijinga
  5. I

    Mzee wa upako

    Nilikuwa naangalia kipindi cha huyu bwana sasa yeye mahubiri yake mengi stori nyingi, kuhimiza watu kutoa sadaka na kuponda wahubiri wenzake kama kakobe na mama lwakatare mpaka anamwita mama wa misukule fake sasa naomba historia ya huyu bwana kwa mtu anaeijua vizuri
  6. I

    Natafuta daktari bingwa

    Mail imegoma kuja through masanilo@jamiiforums.com ntumie nyingine kaka nikucheki kama vipi
  7. I

    Natafuta daktari bingwa

    Masanalo thanks sana bro nimekutumia mail cheki unajua sio kila saa nacheki huku kaka mambo kibao nimekupata kaka na naomba reply yale ambayo nimekuuliza kwenye hiyo mail poa bro
  8. I

    Natafuta daktari bingwa

    Mimi mwanaume wewe nilipata ugonjwa huu since 2008 soo una miaka miwli sijambukiza mtu hata mmoja. Mke wangu hana its like an accident bro .am very careful ndio maana kama 5 places nimeenda wamenipima na ngoma niko poa nimeshakujibu maswali yako nipe solution fasta.
  9. I

    Natafuta daktari bingwa

    na kuna dr.mmoja alikuwa muhimbili ndio aliyeniambia hii ni viral infection sasa nikaenda kupima sasa si unajua usumbufu wa muhimbili mara nikapata safari ya kikazi nimerudi kuchukua majibu namtafuta yule dr simpati hewani naambia kaenda Russia kusoma nikadata nikaaza upya tena lakini bado...
  10. I

    Natafuta daktari bingwa

    Ngoma negative,sina syphilis wala gono ila nimeambiwa ni herpes simplex cjui nimetumia sana acyclovir tabs and cream lakini hakuna kitu,nimekaa nao miaka miwili nahisi niliupata through sex,mimepima sehemu kama mia kaka na vikatasi vingi vimepotea sasa kusema nikupe majibu ningumu haya naombeni...
  11. I

    Natafuta daktari bingwa

    Habari wana jamii forum mimi natafuta daktari bingwa hapa dar wa magonjwa ya zinaa maana naumwa sana na nimetibiwa siponi nimepima kila kitu mpaka ngoma sasa naona labda nianze na dr mpya na ujuzi mpya naombeni msaada gharama sio shida ntalipa email yangu:bulongwa@yahoo.com
  12. I

    Je, kweli karanga mbichi huongeza nguvu za kiume?

    JAMANI MIMI NNA TATIZO NATAFUTA DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA ZINAA HASA YANOHUSIANA NA VIRAL INFECTIONS VERY URGENTLY NAOMBA SANA MNISAIDIE NIMPATE HUYO DR.NATESEKA SANA NDUGU YENU NAPATIKANA bulongwa@yahoo.com
  13. I

    Project funding sources

    Msanii naomba contact zako tuwasiliane kaka unipe tuition ya fairtrade
  14. I

    Elimu ya kova inanipa utata

    niliwahi kusikia sehemu kwamba ana LL.B sasa cjui ni kweli au vp?
  15. I

    Ripoti ya tume ya maadili ya Philip Mangula iko wapi?

    kweli jamaa yuko oysterbay anakaa kwenye nyumba yake yuko poa sana watu kama wale kufulia ujue wewe ni nusu kichaa opportunities kibao,anasali KKKT usharika wa Msasani,Dingi yuko poa sana na ujane wake.
Back
Top Bottom