Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,323
- 6,810
Wakati akifanya ziara mkoani mbeya wilayani kyela kiongozi mmoja wa juu serikalini na kwenye chama "enzi za mwalimu" alipata taabu mno kuwasiliana kwa kiswahili nawakazi wa kyela mkoani mbeya.......
Alianza namna hii,..Chama cha Tanu Juuuu? akashangaa umati wote uliohudhuria tukio lile ukiwa kimyaa kabisa! aka shangaa akaangalia kushoto na kulia na kurudia TANU juuu..! lakini wapi, umati woote kulikuwa hakuna mtu hata mmoja aliekuwa anajua kiswahili hivyo walikuwa hawajui anamaanisha nini.
Alikuwa ni mzee maarufu mkoani mbeya enzi za Chama cha TANU Mzee Mwangoka aliekuwa amekaa jukwaani na mheshimiwa yule, akamwonyesha ishara mgeni rasmi kuwa tatizo ni lugha na yeye atawatafsiria japokuwa na yeye kiswahili kilikuwa kinamsumbua sana sana!
Mambo yakawa hivi;
Mwangoka; Kyama kya TANU pamwanyaaaa?(yaani chama cha TANU juu) watu woote wakaitikia pamwanyaaaaaaaaaaa!.......mmoja akaendelea... "ndaga mwanetu papo batile gwimbile isukulu na Nyerere ku Malangali!!" (yaani tunashukuru mtoto wetu kwani nasikia umesoma na Nyerere Malangali)......
..............