Recent content by ishobo

  1. I

    Hivi itakuwaje mambo yakiwa hivi?

    Ccm washinde uchahuzi tz bara, Zanzibar ichuuliwe na upinzani or vise versa. Serikali itaundwa vipi? Mawaziri wa yale mambo ambayo ni union matters watapatikanaje? NB. Katiba hairuhusu kuchanganya vyama katia kuunda serikali..na haiwezekani mawaziri wote wa jamhuri ya muungano watoke bara. Hapo...
  2. I

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Hakyamungu kuna watu wanawaza kutumia makalio. Mbona nyie na liCcm lenu la kurithishana hatuongei. 1. Kikwete to Ridhiwan 2. Karume to A.Karume 3. Julius to Makongoro 4. Mgimwa to Mgimwa 5. Sokoine to Sokoine 6. Nnauye to Nape Nnauye 7. AH Mwinyi to H.Mwinyi...to mention the few. Hivi...
  3. I

    Upuuzi huu wa TANESCO makao makuu hauvumiliki

    Upo itaratibu wa kifala sana hapa tanesco makao makuu. Wageni wote wanaokuja muda wa lunch (hili linajumuisha wageni waswahili tu)hulazimika kukaa nje ya geti barabarani nje bila kujali mvua inanyesha wala jua linawaka. Cha ajabu ni kwamba anapokuja mgeni mzungu au rangi nyeupe huulizwa...
  4. I

    Azam TV tuondoleeni unyonyaji wa Multi-Choice (DSTV)

    Juzi wateja wote wa Dstv walipata ujumbe juu ya ongezeko la gharama za huduma ya king'amuzi cha Dstv. Sasa kifurushi premium itakuwa kama 180,000 hivi. Naamini hawa jamaa wanapata jeuri na kiburi hiki sababu hawana ushindani hapa africa hasa kusini mwa jangwa la sahara maana upuuzi huu haupo...
  5. I

    Star TV mnaboa

    Hivi star tv hamna watangazaji au ni ukiritimba wa hii mizee? Jitu lina mapengo meno yameng'oka eti ndo presenter wa habari!!! Hivi nyie si ndio wataalam wa PR au? Achaneni na huyo kibogoyo Jacob Marcus. Nawasilisha
  6. I

    Tunachonga funguo,Mihuri express

    Wadau, Napata woga na hii mihuri inayochongwa ovyo mtaani. Hivi jeshi la polisi halioni harufu ya uhalifu kwenye hili,mihuri ya bank mashirika ya umma na serikali inapatikana hovyohovyo tu.!!! INATISHA HII. ,vijiwe vya kuchonga funguo navyo vinazodi kuongezeka tu na wanausalama wakobize na...
  7. I

    Nembo ya Taifa siielewi

    Wana jukwaa nawasalim. Mwenye uelewa kuhusu sababu za mwanaume aliye kwenye nembo ya taifa KUVAA GAUNI naomba anijuze. Linanipa taabu kidogo hili.
  8. I

    Ushauri wangu kwa CHADEMA

    Wakuu nawasalim. CHADEMA,nawaomba mtambue kwamba wananchi wamechoka na siasa za majukwaani,masikio hayapo tayari tena kusikia juu ya Operesheni Sangara wala M4C zisizo na matokeo ya moja kwa moja kwa Mtanzania. Kama chama,badala ya kutumia millions of money majukaani,hebu tujaribu kufanya...
  9. I

    CHADEMA mnakatisha tamaa

    Kiukweli wadau napata tabu kidogo nikiwaza dhamira ya dhati ya ukbozi wa Taifa hili inayoonekana kuongozwa kisiasa na CDM. Chadema imekuwa ikijitahidi kugomea,kutangqza na kutoa misimamo mbalimbali lakini sasa nadiriki kusema ni mbwa qnayebweka bila meno. Tunapotishiwa kidogo na polisi huwa...
  10. I

    Graduate, mshahara chini ya milioni moja usifanye kazi

    Logical. Angeanzia hapo. Perepeche zitakata akija kitaa.
  11. I

    Zero mortality rate

    Nini tiba ya mtu ambaye kipimo cha Sperm analysis kinaonesha sperm zake ni Zero mortality rate.
  12. I

    Customer care ya tigo

    Sijui ni kuridhika,sijui ni uzembe tu? Hivi kuna customer care manager na analipwa mshahara kabisa..hii siyo fair. Namba 0713 800800 na 100 zote hazina connection. Kama mmebadilisha namba si mseme au mko bize na ten percent za matangazo. Hebu acheni ubabaishaji. Kilichomkuta ttcl si mnakijua...
  13. I

    Ninahamu na mwanamke lakini si mke wangu

    Ndugu wana MMU kiukweli nashindwa kujielewa,yaani simtamani mke wangu kabisaaaaa. Yaani tunaweza maliza hata wiki mbili bila kugusana japo nyege ninazo. Wenye uzoefu nisaidieni.
  14. I

    NSSF Hifadhi House..Acheni ubabaishaji

    Jengo la NSSF Hifadhi lililo karibu kabisa na mzunguko wa sanam ya Askari Posta halina huduma ya lift huu ni mwezi wa tano sasa. Jengo hili lina urefu wa ghorofa kumi na inawalazimu wapangaji kutumia ngazi kwa muda wote huo bila kujali ni mzee,mlemavu wala mgonjwa. Lifti imeshawekwa na wachina...
Back
Top Bottom