Kiukweli wadau napata tabu kidogo nikiwaza dhamira ya dhati ya ukbozi wa Taifa hili inayoonekana kuongozwa kisiasa na CDM.
Chadema imekuwa ikijitahidi kugomea,kutangqza na kutoa misimamo mbalimbali lakini sasa nadiriki kusema ni mbwa qnayebweka bila meno.
Tunapotishiwa kidogo na polisi huwa tunaufyata,tunaanzisha kitu na tunakiachia njiani. Tunaibua ufisadi then tunaachia hapo.
Tuligomea kanuni za bunge la katiba,zikapita,tukalalamika juu ya jura ya siri na wazi haikusaudia kitu pia.
Maoni ya wananchi yakachakachuliwq na Samuel Sitta na maccm,tukazira hqtimaye wakapiga kura wenyewe,wakahesabu wwnyewe na wakatoa majibu wenyewe. SO SAD.
Mkajifanya kuandamana rais asipokee rasimu...sote tumeona kilichotokea.
Kama mliwashindwa ndani ya bunge,nje ya bunge na uelewa wa watanzania ulivyo wa kusuasua...tunajidanganya kujidai kuhamasisha rasimu ikataliwe.
Kuogopa polisi na kubaki jukwaani ni baadhi ya vinachotukatisha tamaa.
Maandamano yawe ya kweli na siyo kutaka kuandikwa magazetini. WE SHALL OVERCOME.ALUTA CONTINUA