Hapa tatizo sio huyu dada bali ni mungu mwenyewe.
Kama mungu anaju yote na hata yale ambayo hayajatokea, basi lazima alijua kuwa huyu binti ata rudi ukristo baadae.
Sasa kwanini aliruhusu hiyo ndoa itokee na huyu dada ahamehame dini?
Pia ni lazima mungu karuhusu huyu dada kurudi ukristo maana kama isinge kuwa hivyo, basi kurudi kwake ukristoni kungezuiliwa na mungu mwenyewe. Mungu si wa dini zote, au hataki ukristo tena? Inaonekana mungu wenu hajapinga ili swala; ni binadamu tuu mnatafusiri mambo kivyenu....

Wewe mpuuzi mkubwa tatizo Mungu?
HahahaaaaaaaaaaKweli Jamaa ni mpuuzi. Tatizo si Mungu, tatizo ni allah mungu wa magaidi na mpenda ngono anayewapa wanaume mabikira 72 na vijito vya kilevi kule kwake. Tehe! ��������
Hawa mabanti wa kikristo nao wanaudharalisha ukristo mno yani wao mtu akitoka tu dubai akija na janjajanja ya kutaka kuwaoa hao fasta waishabadil dini kwa tamaa tu,
Hapa tatizo sio huyu dada bali ni mungu mwenyewe.
Kama mungu anaju yote na hata yale ambayo hayajatokea, basi lazima alijua kuwa huyu binti ata rudi ukristo baadae.
Sasa kwanini aliruhusu hiyo ndoa itokee na huyu dada ahamehame dini?
Pia ni lazima mungu karuhusu huyu dada kurudi ukristo maana kama isinge kuwa hivyo, basi kurudi kwake ukristoni kungezuiliwa na mungu mwenyewe. Mungu si wa dini zote, au hataki ukristo tena? Inaonekana mungu wenu hajapinga ili swala; ni binadamu tuu mnatafusiri mambo kivyenu....
dini ni mpango wa wanadamu kumfikia mungu, hakika hakuna dini itakayowafikisha kwa mungu.
fuatni wokovu, ambao ni mpango wa mungu kuwaokoa wanadamu.ivo namshauri shehe aokoke mara moja, na aachane na mpango wa allah kwani unampeleka kusiko
Ni kama unaandika usichokijua. Mungu hawezi kuwa tatizo. Binadamu una free will ya kuchagua.