Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

Nilumsikia siku walipoitwa na JK kuwekwa sawa kwa ajili ya kampeni. Nikajiuliza huyu anajua chochote kweli kuhusu maendeleo?? Maaana kwake yeye mwanae kuwa na account na followers instagram ni maendeleo kwa taifa.

hatareee

sana
 
Elewa alichomaanisha mtu kusema ukabila sio kwamba kamlenga lowasa na sumaye na usijifanye hujaona mabango yanayo sema "kazini na lowasa mpaka ikulu" lakin pia angalia uongozi wa Chadema kuna ukabila,kujuana na ufamilia sema sasa hivi mikoa yote ya kaskazini wameamua kumuunga Mkono ndugu yao pia rejelea maneno ya F.SUMAYE kuhusu ukabila pia ujiulize anatoka ukanda gain

Weka hoja tuelewane

Hakyamungu kuna watu wanawaza kutumia makalio. Mbona nyie na liCcm lenu la kurithishana hatuongei.
1. Kikwete to Ridhiwan
2. Karume to A.Karume
3. Julius to Makongoro
4. Mgimwa to Mgimwa
5. Sokoine to Sokoine
6. Nnauye to Nape Nnauye
7. AH Mwinyi to H.Mwinyi...to mention the few.

Hivi mmelogwa...au unaamka tu na mitongotongo yako unapost. Ikabila..ukanda..familia what a nonsense.
Cant u think on your own?

#nihaki yetu kuwa maskini.
 
Ndugu yangu Somji Juma nasema UKAWA wote ni kabila moja kama unabisha ngoja nikudadavulie.

1. Aikael Mbowe ni mchagga

2. Edward Ngoyai Lowassa ni mchagga

3. Dr Emanuel Makaidi ni mchagga

4. Fedrick Sumaye ni mchagga

5. Maalim Seif Shariff Hamad mchagga wa kibosho

6. Prof Lipumba mchagga

7. Mrithi wa Prof Lipumba Taslimu mchagga wa Marangu.

Habari zenu wadau..
Leo nikiwa napita napita kwenye mitandao ya kijamii nikaingia kidogo kwenye huu mtandao wa instagram..

Nimezoea kuona msanii Diamond aliyejitoa akili akimpost Magufuli na kumsifia kwa mambo mengi(hakuna tatizo hapa,ni ujinga wake na ni lazima uheshimiwe)..

Lakini leo nimeshangaa kwa kitu alichoandika,eti waliohama wote ni wakabila moja(lowasa,sumaye)..

Sina shaka alichoandika hakijatoka kichwani mwake bali ameagizwa(hilo sote twalijua)..
Tunajua wasanii wote walikua wana msapoti Lowasa mpaka walipoitwa kwenye dinner na kulainishwa na mwanasiasa bora,kuliko wote Tz,Mh.J.kikwete(kumbuka ni mwanasiasa bora na sio kikngozi bora).

attachment.php

MaSwali langu kwa DIAMOND,
1.una wakika kwamba SUMAYE NA LOWASA ni kabila moja.?

2.huoni kama unaleta uchochezi wa kikabila.?

3.ungekuwa Bado upo Tandale,je ungekuwa unamshabikia magufuli.?

4.kama CCM imetutengenezea maisha mazuri na huduma nzuri,kwanini demu wako(Zari) alijifungulia private hospital.?

5.kwanini kabla ya ku post chochote kuhusu magufuli unaomba kwanza usitukanwe.?
 
Last edited by a moderator:

Kweli kabisa boss

Baada ya hapo aje aseme hawa ni kabila gani?

30.jpg
 
Mi nadhani kwa tunaopenda Tanzania na Hatutaki ukabila wala udini... huyu jamaa anaturudisha nyuma na ni BORA kutomfuata kwenye PAge yake (UNFOLLOW) mi ndo naenda kujitoa... Star wa sanaa hawezi leta chokochoko za kiasiasa namna hii..
 
u dont have to unfollow

endelea kumfollow na umpe kibano huko huko

Sisi sasa hivi tunampa dozi kwenye mabandiko yake ya kuomba kura za tuzo
 
Diamond yupo sahihi wote ni wakaskazini.

Mbowe, Lema, Kileo, Nassari, Lowassa, Komu, Mdee, Mnyika, Sumaye, Mbatia, Mtei, Ndesamburo, Selasini.
Haijalishi huyu katoka wapi? tumia kichwa kufikiri badala ya tumbo.. Mtume muhamad (SAW) na viongozi wake waandamizi sijawahi kuwasikia kuna waliotokea Brazil au Canada, hata Jesus Christ na mitume yake sijui hata mmoja mwenye asili ya Australia au Sudan lakini wana wafuasi dunia nzima. Labda kwa msaada kuna mikoa wakoloni kwa sababu zao walimua kufanya makazi yao, Hii mikoa ikabahatika kua na shule, ndiyo maana generation yetu ina shuhudia graduates wengi wakitokea kaskazini Arusha. Kilimanjaro, Kagera,Mbeya na Iringa... na sio Lindi au Mtwara, sasa unategemea harakati zianze Pwani Na sio Huku kwenye watu waliopendelewa ELIMU? lawama hizi wape wakoloni!
 
Diamond is a gonner

Entertainment and siasa ni vitu viwili tofauti

He forgets kwamba kwa kushabiki ccm ameshapoteza 50% ya washabiki wake

what a miscalculation at such a young age

Diamond ana haki kama raia yeyote kufanyia kampeni kiongozi anayemtaka. Hakuna cha ajabu hapo. Wala si jambo geni kwa watu maarufu kujitokeza nyakati za kampeni duniani kote na kuwaunga mkono wale wanaofikiri ni bora kwao na Taifa. Tuache chuki na uchochezi unaodumaza ukuaji wa demokrasia katika nchi yetu. Kama hukubaliani nae jenga hoja kwa yule umtakae na sio kujaribu kumrudisha nyuma kisa ni maoni aliyotoa. Ni ukweli usiopingika mchango mkubwa alionao Diamond katika sanaa ya muziki nchini ni wa kiwango ambacho hakuna katika historia ya muziki amemfikia. Chonde chonde tulinde wasanii wetu na tuache chuki zisizo na tija kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Huyu kijana ni hazina kubwa kwenye sanaa ya nchi na bara letu tuache mzaha kabisa. Tumpe haki yake yA kutumia ushawishi alionao kumuunga mkono anayemtaka. Hajafanya kosa hata kidogo. Tuendelee kuwaunga mkono wasanii wetu wote kwenye kazi zao haya mengine tuwaache watumie haki yao ya kidemokrasia tafadhali. Kuvumiliana ni muhimu hata kama hukubaliani na mtazamo wake (wao)
Fungua link ujionee wasanii wanaounga mkono harakati za kisiasa na kutumia haki yao ipasavyo.

https://youtu.be/5IwHzj6gDBY
 
Elewa alichomaanisha mtu kusema ukabila sio kwamba kamlenga lowasa na sumaye na usijifanye hujaona mabango yanayo sema "kazini na lowasa mpaka ikulu" lakin pia angalia uongozi wa Chadema kuna ukabila,kujuana na ufamilia sema sasa hivi mikoa yote ya kaskazini wameamua kumuunga Mkono ndugu yao pia rejelea maneno ya F.SUMAYE kuhusu ukabila pia ujiulize anatoka ukanda gain

Weka hoja tuelewane
huyo hamtaelewana coz ushabiki ni unatawala fikra zake
 
Hata Kariakoo wamejaa wachaga na wakinga sasa kama mzaramo anapenda ngoma kuliko pesa tufanyaje, huwezi kulazimisha watu wawe viongozi wa siasa wakati interest zao ni ngoma, au ngono kama sifa kubwa aliyo nayo mwenyekiti wa magamba
 
Diamond ana haki kama raia yeyote kufanyia kampeni kiongozi anayemtaka. Hakuna cha ajabu hapo. Wala si jambo geni kwa watu maarufu kujitokeza nyakati za kampeni duniani kote na kuwaunga mkono wale wanaofikiri ni bora kwao na Taifa. Tuache chuki na uchochezi unaodumaza ukuaji wa demokrasia katika nchi yetu. Kama hukubaliani nae jenga hoja kwa yule umtakae na sio kujaribu kumrudisha nyuma kisa ni maoni aliyotoa. Ni ukweli usiopingika mchango mkubwa alionao Diamond katika sanaa ya muziki nchini ni wa kiwango ambacho hakuna katika historia ya muziki amemfikia. Chonde chonde tulinde wasanii wetu na tuache chuki zisizo na tija kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Huyu kijana ni hazina kubwa kwenye sanaa ya nchi na bara letu tuache mzaha kabisa. Tumpe haki yake yA kutumia ushawishi alionao kumuunga mkono anayemtaka. Hajafanya kosa hata kidogo. Tuendelee kuwaunga mkono wasanii wetu wote kwenye kazi zao haya mengine tuwaache watumie haki yao ya kidemokrasia tafadhali. Kuvumiliana ni muhimu hata kama hukubaliani na mtazamo wake (wao)
Fungua link ujionee wasanii wanaounga mkono harakati za kisiasa na kutumia haki yao ipasavyo.

https://youtu.be/5IwHzj6gDBY
njaa ndio inawasumbua hao acha kuongopea wapi eti wasanii wanao support CCM? dumb shit
 
we fani yako ni ipi mana nataka nikushauri uanze wewe kuachana na siasa.....na wewe kama yeye uyo mdingi anakulea ni wakufikia mbane maza ako akupe ukweli we mtoto wa nani au kafanye DNA
....mwambie diamond akafanye DNA test....kama unampenda....
 
Kitu nafurahi upinzani wakiingia madarakani wamesema hawana kinyongo na mtu, watakualika ukawakatie viuno. Ebu tuachane na swala la siasa sio fani yako.

Jamaa unaonekana kidume sana..umeshachezea mademu kibao hapa Tanzania lakini hakuna uliyempa mimba, kilichonishangaza umekuwa na mahusiano na mke wa mtu ghafla kapata mimba

Ushauri wangu kapime DNA,
 
Habari zenu wadau..
Leo nikiwa napita napita kwenye mitandao ya kijamii nikaingia kidogo kwenye huu mtandao wa instagram..

Nimezoea kuona msanii Diamond aliyejitoa akili akimpost Magufuli na kumsifia kwa mambo mengi(hakuna tatizo hapa,ni ujinga wake na ni lazima uheshimiwe)..

Lakini leo nimeshangaa kwa kitu alichoandika,eti waliohama wote ni wakabila moja(lowasa,sumaye)..

Sina shaka alichoandika hakijatoka kichwani mwake bali ameagizwa(hilo sote twalijua)..
Tunajua wasanii wote walikua wana msapoti Lowasa mpaka walipoitwa kwenye dinner na kulainishwa na mwanasiasa bora,kuliko wote Tz,Mh.J.kikwete(kumbuka ni mwanasiasa bora na sio kikngozi bora).

attachment.php

MaSwali langu kwa DIAMOND,
1.una wakika kwamba SUMAYE NA LOWASA ni kabila moja.?

2.huoni kama unaleta uchochezi wa kikabila.?

3.ungekuwa Bado upo Tandale,je ungekuwa unamshabikia magufuli.?

4.kama CCM imetutengenezea maisha mazuri na huduma nzuri,kwanini demu wako(Zari) alijifungulia private hospital.?

5.kwanini kabla ya ku post chochote kuhusu magufuli unaomba kwanza usitukanwe.?

Shule inamsumbua Diamond,
 
Diamond ana haki kama raia yeyote kufanyia kampeni kiongozi anayemtaka. Hakuna cha ajabu hapo. Wala si jambo geni kwa watu maarufu kujitokeza nyakati za kampeni duniani kote na kuwaunga mkono wale wanaofikiri ni bora kwao na Taifa. Tuache chuki na uchochezi unaodumaza ukuaji wa demokrasia katika nchi yetu. Kama hukubaliani nae jenga hoja kwa yule umtakae na sio kujaribu kumrudisha nyuma kisa ni maoni aliyotoa. Ni ukweli usiopingika mchango mkubwa alionao Diamond katika sanaa ya muziki nchini ni wa kiwango ambacho hakuna katika historia ya muziki amemfikia. Chonde chonde tulinde wasanii wetu na tuache chuki zisizo na tija kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Huyu kijana ni hazina kubwa kwenye sanaa ya nchi na bara letu tuache mzaha kabisa. Tumpe haki yake yA kutumia ushawishi alionao kumuunga mkono anayemtaka. Hajafanya kosa hata kidogo. Tuendelee kuwaunga mkono wasanii wetu wote kwenye kazi zao haya mengine tuwaache watumie haki yao ya kidemokrasia tafadhali. Kuvumiliana ni muhimu hata kama hukubaliani na mtazamo wake (wao)
Fungua link ujionee wasanii wanaounga mkono harakati za kisiasa na kutumia haki yao ipasavyo.

https://youtu.be/5IwHzj6gDBY
kasome kwenye wall yake ndio ujue yupi ana chuki

he spent time explaining why he wont need watu wa kaskazini kwenye shows zake, how is that related to chama anachosapoti??

Hatuwezi kumvumilia mtu aliyekulia tandale leo anakuja kukubali na kukandya watu kwamba ni ulofa wao, simply because he has made it.. we had Mr. Nice, Marlaw, etc. wako wapi??

Usanii na siasa tofauti, he is a gonner

KTMA showed him that umaarufu wake bongo umeshuka, sasa mkuu hakuna aliyenyea kambi home akamake it to the ceiling

Hiyo youtube yako angalia mwenyewe

Imagine huyu dogo bila upeo anadiriki kusema kwamba watu wote ni wa kabila moja... wow wow, bulaya, lowassa, sumaye, msindai, lembeli wote ni wa kabila moja?? tunajua hakusoma na upeo wake bado mdogo lakini hata kwenye picha haoni kwamba mmoja yupo kahama, mwingine bunda, mwingine singida, mwingine loliondo na mwingine hannang??

Watch him going down... mbona watu hawajawashupalia yamoto band?? its because the humbled themselves down, they didnt go to social medial and crush people who spend ttheir hard earned money like that

malofa tumejipanga, na mwaka huu tunaisoma namba kwa mbele
 
habari zenu wadau..
Leo nikiwa napita napita kwenye mitandao ya kijamii nikaingia kidogo kwenye huu mtandao wa instagram..

Nimezoea kuona msanii diamond aliyejitoa akili akimpost magufuli na kumsifia kwa mambo mengi(hakuna tatizo hapa,ni ujinga wake na ni lazima uheshimiwe)..

Lakini leo nimeshangaa kwa kitu alichoandika,eti waliohama wote ni wakabila moja(lowasa,sumaye)..

Sina shaka alichoandika hakijatoka kichwani mwake bali ameagizwa(hilo sote twalijua)..
Tunajua wasanii wote walikua wana msapoti lowasa mpaka walipoitwa kwenye dinner na kulainishwa na mwanasiasa bora,kuliko wote tz,mh.j.kikwete(kumbuka ni mwanasiasa bora na sio kikngozi bora).

attachment.php

maswali langu kwa diamond,
1.una wakika kwamba sumaye na lowasa ni kabila moja.?

2.huoni kama unaleta uchochezi wa kikabila.?

3.ungekuwa bado upo tandale,je ungekuwa unamshabikia magufuli.?

4.kama ccm imetutengenezea maisha mazuri na huduma nzuri,kwanini demu wako(zari) alijifungulia private hospital.?

5.kwanini kabla ya ku post chochote kuhusu magufuli unaomba kwanza usitukanwe.?

huyu mtoto analipa kodi kweli kwa hizi shughuli zake? Tukijua hilo haya mengine yatajibika
 
Back
Top Bottom