Recent content by Ibhara

  1. I

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Yah,tayari Depay amesafiri kwenda England kukamilisha makubaliano.Dogo yupo vizuri ataongeza nguvu kwenye kikosi!
  2. I

    Kama Rais Uhuru wa Kenya leo ameweza, kwetu Rais Kikwete tatizo nini?

    Kama Rais UK asingechukuwa hatua wananchi wa Kenya wana uwezo wa kuchukua hatua na wakiamua wameamua,kwa Tz bado hatujafikia hyo stage
  3. I

    CHADEMA yaendelea kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Huo mradi mradi nimeupenda!
  4. I

    Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

    Mhh,UKAWA sasa hii sifa zaidi ya Mcharo.
  5. I

    Msc. Procurement and supply v/s Mba(procurement and supply)

    MBA ni nzuri kwa watu ambao tayari wana ajira coz inakupa general knoweldge kwenye fani husika,na Msc ni nzuri kwa mtu ambaye hafanyi kazi (fresh graduate) kwa sababu inadeal deaply na fani na hivyo unakuwa competent zaidi na hivyo kujiuza kirahisi kwenye soko la ajira. So, kwa maelezo hayo...
  6. I

    Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

    Sijakurupuka,ndo maana nikaweka alama ya kuuliza kwamba hyo mil.3 ni kwa kichwa? Otherwise it was like a joke,so lets forces of the market plays its role!
  7. I

    Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

    Jinsi maisha yalivyo mepesi!
  8. I

    Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

    Show mil.3? kwa mtu1?,ina maana watu 100 Tzs mil.300,kwa usiku mmoja?
  9. I

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Pole sana mkuu,kati ya vitu nlivyokuwa nmuomba Mungu visinikute ni kuoa mke mwenye mtoto au mimi kuingia kwenye ndoa nikiwa na mtoto nliyezaa nje ya ndoa! Kuna changamoto sana ukikutana na situation kama hyo,japo inaweza isiwe direct!
  10. I

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    For me it is not bad even if Man U lose the game against CFC,kwa mtu yeyote anayefuatilia soka atakubali kwamba timu ilicheza vyema na ina madiliko makubwa tofauti na msimu ulivyoanza na msimu uliopita Kilichoi-cost timu jana ni kukosekana kwa striking force,Falcao alipwaya,na kwa mechi kama ile...
  11. I

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pamoja na kufungwa,hakika timu ya Man U imebadilika na naona zile enzi zinaanza kurejea taratibu!
  12. I

    Je, wajua? - Special Thread

    Je wajua lugha ya Kiswahili ndio lugha ya pili kwa kuwa na watumiaji wengi barani Afrika ikizidiwa na lugha ya kiarabu!
  13. I

    Maneno ya Robert Mugabe kuhusu kinachoendelea South Africa

    Yaani ukisoma nukuu nyingi za Raisi Mugabe unaweza kugundua ni mtu mwenye kutafakari mambo magumu na kuyatolea maelezo yaliyobeba ujumbe mzito!
  14. I

    Serikali kuzifuta taasisi za kidini zinazojihusisha na Katiba, Uchaguzi mkuu

    Katiba ndiyo sheria mama ya nchi hivyo sidhani kama taasisi kuwaelekeza waumini wake namna ya kupata katiba bora kwa maslahi ya wananchi na waumini wao ndiyo kujihusisha na siasa!
  15. I

    Mbona jitihada anazotifanya sasa kiongozi mkuu Zitto, hatukuziona wakati akiwa CHADEMA

    Mhh,hivi ZZK alishawahi kukamatwa au kupigwa na kujeruhiwa na Polisi kama ilivyo kwa viongozi wengine wa juu wa Chadema enzi akiwa CDM?
Back
Top Bottom