Recent content by Class

  1. Class

    Natafuta mfanyakazi wa saloon ya kike

    Asante,ukimpata nisaidie
  2. Class

    Natafuta mfanyakazi wa saloon ya kike

    Mfanyakazi nilikua nmemuandaa tayari,ila ameachana na mume wake hivyo amerudi kwao
  3. Class

    Simba imepiga bomu Mochwari, Kelele kama zote

    Hebu weka fact zinazonesha belouzdad ba medeama zina izidi waydad na Asec kimafanikio ili tuelewane vizuri
  4. Class

    Natafuta mfanyakazi wa saloon ya kike

    Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu. Nahitaji mtu wa saloon,awe wa kike au wa kiume,kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka Misuko Tofauti Make Up kwa wateja Kubana styles tofauti. Saloon ni mpya,naifungua leo, Saloon ipo MKURANGA BUS...
  5. Class

    Young Lunya kapigwa za uso na Young Killer

    Naona game inachangamka sasa.
  6. Class

    Msaada: mouse kutofanya kazi

    Umejaribu ku troubleshoot?
  7. Class

    Wanaume mliokuwa mnataka kuwafahamu na kuwajua wanawake, UKWELI huu hapa

    Hanipi mimi kiongozi ,ila ukimpata upande wa mbususu sio wasumbufu
  8. Class

    Wanaume mliokuwa mnataka kuwafahamu na kuwajua wanawake, UKWELI huu hapa

    Kuna hoja hapo japo sio sana. Kamfano kadogo. Ukiwa na mahusiano na single maza ndio utajua haya ya ndugu muandishi hamsumbuani kuanzia mawasiliani,kutoa mbususu,anakusikiliza na heshima tele,yani anaishi kama wife material nk kwakua anahitaji ulinzi wake na watoto .ila nyuma ya pazia sasa
  9. Class

    Kati ya Robertinho na Chama ni nani aliyeingia Kwenye Mfumo wa Mwenzake?

    Chama kuna muda hujui anacheza no ngapi. Kati yupo ,pembeni,mara katokea chini huku yani hatuli Pia speed saizi anayo bila kusahau ile mifinyo yake anayoadhibia wapinzani. Asante robertinho asante chama ,sisi simba tunapata burudani
  10. Class

    Roho nzuri inalipa, aliyetumiwa milioni 54 apewa laki 2 kama "ZAWADI NONO"

    Pesa kwakua haikuwa yake hiyo laki 2 ni sawa tu.hatujui mtumaji alikua anatuma wapi na kipato chake ni kipi.angezichukua ni wizi pia
  11. Class

    Baada ya Chama kugaragazwa Kura za Mchezaji Bora wa Wiki, ipi nafasi ya Simba Robo Fainali CAF?

    Simba akishinda haya mambo yanakua hayana maana .ila akishinda basi yanakua na maana
  12. Class

    Yapi ni Mavazi sahihi kwa Mwanaume kwaajili ya Mtoko wa kukutana na Mwanamke kwa mra ya kwanza?

    Ngoja nami nikae nipate darasa, Mimi itakua nna bahati zangu tu, huwa nachomoka na nguo yoyote safi nnayoipenda zaidi. Pafyum natumia iliyopo kama haipo basi.
  13. Class

    Kinamchomsumbua Hananja ni wivu wa kuzidiwa 'trending' na Mfalme Zumaridi

    Wekeni picha ya hananja basi tumjue na sisi
Back
Top Bottom