Yapi ni Mavazi sahihi kwa Mwanaume kwaajili ya Mtoko wa kukutana na Mwanamke kwa mra ya kwanza?

SheriaE

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
606
446
Habari,

Watu wa masuala ya urembo na utanashati.

Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae.

Pia ningependa nipendekezewe na perfume. Usiniambie nigoogle please.

Natanguliza shukurani.
 
Hao siku hizi ni pesa tu ndio inawaimpress na siyo mavazi usijidanganye.

Vaa simple tu t-shirts na jeanz hakuna inayemkataa, chini sneakers zako simple tu, mfuko ndio uongee zaidi.

Pafyumu inatategemea na pesa yako.

IMG-20230206-WA0035.jpg
 
Habari,

Watu wa masuala ya urembo na utanashati.

Mimi ni kijana wa kiume. Ningependa kupata muongozo wa mavazi ya kawaida (casual wear ) kwa ajili ya kuendea date kwa kijana wa kiume. Nimejipata napata shida kufahamu ni namna gani naweza vaa ili kuimuimpress nitakaekuwa nae...
Wachangiaji,
Itapendeza
Tuweke na tu picha picha itapendeza 🤓
 
Vaa mavazi yanayokuweka huru kama shati la bahamas na jeans kali

Mimi hupenda kuvaa Tahirt ndani nje shati nililoachia vifungo la mikono mirefu na jeans modo kali.
 
Ngoja nami nikae nipate darasa, Mimi itakua nna bahati zangu tu, huwa nachomoka na nguo yoyote safi nnayoipenda zaidi. Pafyum natumia iliyopo kama haipo basi.
 
Khaaa!!

Watu mnafanya maisha kuwa magumu sana!! Halafu siku Wazungu wakisema Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo wananchi wake hawana furaha utakuta mnabisha!!

Huwezi kuwa serious kwa vitu basic kama hivyo halafu utarajie eti unaweza kuwa mtu mwenye furaha... NEVER!

Anyway, nisiseme sana manake sie wengine ni Watoto wa Tandika! Hayo mambo ya sijui first date ni huko huko kwenu mlikoathiriwa ni movies za "Kimerekani" tangu enzi za Sunset Beach!
 
Back
Top Bottom