Recent content by Challya

  1. Challya

    Hata siku moja usimpende mtu zaidi ya unavyojipenda

    Biggest mistake you can ever make is making someone else's happiness your priority "I made sure you were happy even when I wasn't" I felt that line🥹 Guys it's ok to be selfish and self centered about your happiness, if it takes so much from you why bother.
  2. Challya

    Fanya haya ili udumu na mkeo

    Hayanaga formula haya.
  3. Challya

    Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    😆😆😆 kuna watu mnajidanganya. Mwanamke hata umuonge dunia, sio kwamba ndio atatulia. Mwanamke huwa hathamini fadhila, yeye huthamini tu hisia zake, jinsi hisia zake zitakapomtuma ndio hufanya. Mwanaume, ukitaka uje uishi kwa majuto hapa dunianni, basi wekeza pesa zako, nguvu zako, akili yako kwa...
  4. Challya

    Naomba ushauri: Alijua ni bikira lakini alipojaribu hakukuta kitu

    Kuna wanawake hutumia hiyo mbinu ya ubikra, ili wale hela yako kiulaini. Huo ni wizi.
  5. Challya

    Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

    Wanawake bhana, wanadai 50/50, ila kwenye suala la pesa hawataki 50/50
  6. Challya

    Nisaidieni kuzimua ubongo wa huyu mwanamke

    Mwache, afanye yake.
  7. Challya

    Hatuna marafiki, bali tuna watu wakubadilishana nao mawazo tu

    Huyo unaemuita rafiki ndio anamla mkeo/mpenzi, akakutakia mabaya, anachukia mafanikio yako, anakusema vibaya kwa watu. Ni bora adui ambae unamjua, kuliko adui ambae ni rafiki.
  8. Challya

    Jifunze kusoma 'Red Flags', itakuzuia kuumizwa kwenye mapenzi

    Hela na mapenzi, yote yana umuhimu kwa binadamu.
Back
Top Bottom