Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?

Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?

  • Niachane nae?

    Votes: 9 52.9%
  • niendelee kuvumilia?

    Votes: 8 47.1%

  • Total voters
    17
Kuna kauli ya kihuni niliisoma humu humu,kipindi cha mkandamizaji, kwamba mshauli wa ndoa nae kesha tom........wa. Sasa, mtu anaekwambia kataa ndoa,atakushauri nini!!! Mana yake,hata yeye yamemshinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom