Fanya haya ili udumu na mkeo

Ulikimbia umande niniΒ΄? Mbona kuandika kiswahili kunakupa shida sana!
🀣🀣
Fanya majukumu yako kwa kadri ya uwezo wako,usije ukaji overstretch ili kukidhi mahitaji yote ya mkeo.
Wanawake hata uwafanyie nini hawaridhiki.Mwanamke siku zote anahitaji kile kitu ambacho huna.
Ukiweza kumnunulia gari,lakini huwezi kuliosha au kumzibia pancha,tayari ni kigezo cha yeye kumpa mwanaume mwingine thamani vs You!
🀣🀣
 
Narudia Kabla kujibu mleta mada ajibu yeye ni mwanamke au Mwanaume? Mbona swali rahisi tu aje ajibu hapa.Aliyeleta mada mwenyewe yeye jinsia Gani?

Anaogopa Nini kujibu Hilo swali .Si ajibu tu

Shida Nini? Mbona anatoroka
Oyah we mchuchu vip? 😜😜
 
Sawa
1.hakikisha una mmudu

hakuna kitu kinacho mvutia mwanamke/kinacho mshawishi mwanamke kuamua kuolewa au kuishi na mwanaume zaidi ya tendo la ndoa

Yale Mambo ya vyakula sjui out nyingi magari fedha havina maana Kama mwanamke hatosheki kwenye swala la ngono

Kwa maana hiyo unapo amua kuishi na mwanamke hakikisha unaowaa mwanamke ambaye unajua una mmudu kitandani kwa mda wote ambao utakuwa nae kwenye uzima na ukamilifu wako uta dumu nae

Kinyume nahapo wazee wa mjini msingi kiuno watakula Sana pesa zako. wataingia saana chumbani kwako. wata tumia Sana magari yako. na watakujua nje ndani baada ya kumjua mkeo.na uta rea Sana watoto zao bila kujua

2.Usiangalie Jana

Mwanamke nikama mtoto kadri anavyo kosea naku kemewa ndivyo anavyo hisi anaonewa na huchukua mda kugundua kwamba alikosea.

wako hivyo mama zetu

Sasa ufanyeje ili asikosee

Kama ulikuwa na tabia ya kumpa majukumu frani na Ana kosea Mara kwa Mara unacho takiwa kufanya nikuya beba majukumu hayo au kumtafutia wa kumsaidia majukumu hayo hakina kitu mwanamke hujiskia vibaya Kama akigundua unajua hajui majukumu yake

Na maa nisha kwamba Kama hajui kupika wali nyama vizuri kwa mfano lakini.

Basi mtoe out nenda nae hoterini au mgahawani wanapo pika chakula kizuuri agiza wali nyama Kisha baada ya kula muulize vipi umekionaje chakula?

Wana wake wanawivu Sana

ataitikia kwa shingo upande nikizurii huku akinyenyua midomo lakini wewe usijari

Mwambie hivi Huwa navutiwa na walinyama wa hapa. najinsi wahudumu wanavyo nihudumia kwa heshima.

Kama. kuni nawisha,usafi,na kauri nzuri. lakini pia chakula Chao ni chakiwango.

baada ya hapo get back home with her
uta jionea atakavyo change

3.acha kumchunguza

Kumchunguza Sana mwanamke humpa hakiri na kibuli Cha kuto kuja kuachika

na pia kadri unavyo mchunguza ndivyo unavyo mpa hakiri za kujua nijinsi gani akifiche anacho kuficha/unacho taka kukijua

Sasa uki gundua wife ana cheat fanya hivi

Unapotoka kazini mletee vocha mwambie nime ku nunulia vocha sababu najua una chat sana/unaongea Sana na simu hata nikiwa sipo

Kumbuka kuzungumza haya huku ukiwa Kama unatania/muonekano wa kutania

na vyovyote ata kavyo kujibu badiri story

kwenye hakiri yake atagundua kitu kitakacho Leta matokeo mazuri kwenye ndoa yako

4.ishi na mkeo Kama rafiki
Zile Mambo za ubaba kukunja sura kununa mikausho mikali wanaita.

vina mnyima mwanamke Uhuru wa kujieleza anavyo hisi

Mwisho wa siku unaanza kuzikuta siri za ndani kwamajirani.

kwani mwanamke si mvumirivu wa kuyatunza maneno kama hana pa kupumulia

mpe Uhuru wa kuzungumza nawewe ili ujue Nini anakiwaza itakusidia kui tengeneza kesho yenu nzuri na mkeo

5.jitambue

Jitambue kwamba wewe ni mwanaume na una mke Kila kitu kina kutegemea wewe

maji,umeme,chakula,mavazi, vyote vipo chini yako

*Usiingie ndani umelewa Hera ya kula huna

*Usiingie ndani uka mwambia mkeo nimebeti nimeliwa mpaka Hera ya kula Sina

*Chunga maneno machafu uwapo mbele ya familia yako kwani matusi hudumu kwenye mioyo ya watu

Mwisho

Unapo amua kuowa Kuna Mambo/tabia za zamani inabidi uzikatae kwani tayari umekuwa father so una paswa kuwa mfano

Baba haingii disco/night crub

Baba hachezi kamali

Baba hapigani/kutukana hovyo

Baba haipaswi kuonekana amelewa au kuvuta sigara mbele ya familia yake

Baba ni kichwa Cha train kwenye reli mke na watoto Nima behewa

so be good.,
 
Back
Top Bottom