Recent content by Cacho

  1. C

    Beach plot at Mjimwema Kigamboni for sale

    mkuu ni ml. 23 co? kumepimwa na hamna tatizo
  2. C

    Nyumba inauzwa Tabata Kimanga, Milioni 32

    bei inaanzia milioni 32 ila maongezi yapo na ukubwa wa kiwanja ni 14 kwa 28
  3. C

    Nyumba inauzwa Tabata Kimanga, Milioni 32

    Nyumba ipo Tabata kituo Chama ina vyumba 3 kimoja ni masta, sebule, sehem ya kulia chakula na choo cha ndani. umeme upo ndani ila baadhi finishing hazijaisha. Mawasiliano na picha whatsapp piga 0786 360 818. karibuni sana na maonge yapo.
  4. C

    Viwanja vinauzwa, vipo Majohe (Chanika) Ml. 5 tu

    Viwanja vipo Buyuni kata ya Majohe sehemu inaitwa Nyebulu. vinaukubwa wa mita 15-15 unaweza kuviunganisha ukapita ukubwa mzuri na umbali toka barabara kubwa ni kilomita 1 na nusu. Vimepangwa vizuri kwa barabara za mitaa. Bei ni ml.5 tu. Piga simu no 0655 360 818
  5. C

    Nahitaji Tecno H5 au Tecno P5

    ipo h5 una bei gani mkuu?
  6. C

    Gari inahitajika fasta mil.6 ipo

    asante kwa tahadhari nitajitahidi kuwa makini
  7. C

    Msaada kuhusu M-Pesa

    bora ufanye ivo mkuu ila watakuzungusha san na wahudumu wao wana lugha chafu san. lkn ucvunjike moyo
  8. C

    Msaada kuhusu M-Pesa

    kaka omba muujiza utokee mm ninandugu yangu alituma pesa kutoka mpesa kwenda NMB wala haikufika na Voda nao wakasema imeenda ila angoje cku 7 hamna kilichotokea akaamua kusamehe
  9. C

    Gari inahitajika fasta mil.6 ipo

    asante san mr. Ipilimo nimepat hiyo namb
  10. C

    Nahitaji Suzuki Escudo milango mitano

    unaitaji Lexus VX?
  11. C

    Nahitaji Suzuki Escudo milango mitano

    ipo mkuu ofa yako ni ngapi ?then weka no ya whatsapp nikutumie pic zake. iliopo ni new model
  12. C

    Gari inahitajika fasta mil.6 ipo

    yeah naita gx 110 vp ipo mkuu? km ipo tupia kwa whatsapp
  13. C

    Gari inahitajika fasta mil.6 ipo

    Gari inahitajika Mark II grand namb C iwe na hali nzuri cause itakua inasafiri mbali, kama ipo tuma picha kwa whatsapp number 0786 360 818 au piga simu.
  14. C

    Vurugu Ilula: Mwananchi afariki, Kituo cha Polisi chachomwa moto

    Huu ni ujumbe murua kwa CCM ndo wajue raia washachoka
  15. C

    Mwenyekiti wa vijana JKT: Nililazimishwa nifanye mapenzi

    Hio ndio CCM bwana anabahati hajang'olewa meno na koleo. uchaguzi mkuu cjui ni lin
Back
Top Bottom