Msaada kuhusu M-Pesa

Scofied

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,455
1,657
Wakuu heshima kwenu,

Nilikuwa natuma pesa kwenda bank ya NMB kwa kutumia M-Pesa, bahati mbaya nikachagua CRDB badala ya NMB. Account ni sawa but imeenda bank ya CRDB badala ya NMB. Nimewapigia Mpesa huduma kwa wateja wamesema pesa itaridishwa baada ya siku saba za kazi, na bahati mbaya nipo mbali na ofisi za Voda au bank kwa sasa.

Je, ni kweli itarudishwa au mpaka niende Phsicaly Office za Voda!? Je, inawezekana account ya bank moja ikafanana na ya bank nyingine!?

Naombeni msaada wa mawazo!
 
kaka omba muujiza utokee mm ninandugu yangu alituma pesa kutoka mpesa kwenda NMB wala haikufika na Voda nao wakasema imeenda ila angoje cku 7 hamna kilichotokea akaamua kusamehe
 
kaka omba muujiza utokee mm ninandugu yangu alituma pesa kutoka mpesa kwenda NMB wala haikufika na Voda nao wakasema imeenda ila angoje cku 7 hamna kilichotokea akaamua kusamehe
dah...mkuu mbona unanitisha....au nipange safari niende ofc za voda nini!?
 
bora ufanye ivo mkuu ila watakuzungusha san na wahudumu wao wana lugha chafu san. lkn ucvunjike moyo
 
hahaha jiandae kisaikolojia
Yote mawili yanaweza kutokea
Mi juzi kuna muamala nilikosea nkawapigia voda customer care anajibu kama nganga wa jadi nikawapigia kama mara 5 mmoja akanisaidia akanambia kidogo lakini mwishowe akanambia atalipeleka swala langu sehemu husika nitajibiwa,ilinibidi niondoe hiyo hela kqenye hesabu zangu nkahesabia nimekwapuliwa na kibaka lakini
Hamad jana wamerudisha
 
hahaha jiandae kisaikolojia
Yote mawili yanaweza kutokea
Mi juzi kuna muamala nilikosea nkawapigia voda customer care anajibu kama nganga wa jadi nikawapigia kama mara 5 mmoja akanisaidia akanambia kidogo lakini mwishowe akanambia atalipeleka swala langu sehemu husika nitajibiwa,ilinibidi niondoe hiyo hela kqenye hesabu zangu nkahesabia nimekwapuliwa na kibaka lakini
Hamad jana wamerudisha
dah...je nikienda ofc za vodq itasaidia mkuu.!? kupotezea 1m ni shida mkuu!?
 
Siamini kabisa kama account za nmb na crdb zinaweza kufanana format. jaribu kuwafuatilia ofcn kwao haraka
 
Siamini kabisa kama account za nmb na crdb zinaweza kufanana format. jaribu kuwafuatilia ofcn kwao haraka

kweli mkuu....haziwezi kuwa sawa but customer care wa voda wanatoa majibu rahisi sana kwamba wanashughulikia ombi lako ndani ya siku saba
 
Nicheck katika PM nitakufanyia private follow up mpaka uipate nishawasaidia wengi na usijali nitakufanyia free mkuu Of coz huchukua muda coz itabidi voda wapeleke list ya miamala iliyokosewa benk husika then bank huHu
 
Husika hufanya bank reconciliation ya hiyo hela kutoka katika account maalum ya hela zilizokosewa then hurudishwa voda tatizo ni ufuatiliaji hapo ndio kuna ukiritimba ila nikisimamia zoezi ni siku tatu tu
 
Husika hufanya bank reconciliation ya hiyo hela kutoka katika account maalum ya hela zilizokosewa then hurudishwa voda tatizo ni ufuatiliaji hapo ndio kuna ukiritimba ila nikisimamia zoezi ni siku tatu tu
sasa mkuu...swali ni kwamba kama account za crdb na nmb hazifanani c ingekuwa hiyo account haipo crdb c ingerudi kama wrong number mkuu...
 
Update-- wakuu nimeenda kuwaona vida shop arusha mjini pale...wameniweka karibia nusu saa...eti wanatafuta company number ya NMB....nikajiuliza hivi hawana list number ya makampuni walio na ubia nayo kweli..!? mwisho wa siku nikaambiwa tatizo lako tumerilipoti pesa yako itarudishwa baada ya masaa 24...
....nikiwa natoka huku natafakri mara sms ikaingia kutoka cjui Voda Remedy wakaniambia tatizo lako tumeliliport CRDB bank hivyo wapigie kwa number 0789197700 au 0755197700 kwa maelezo zaidi...
Nimewapigia wamepokea wakaniuliza saa niliyotuma pesa,number niliyotumia na kiasi kisha wakanihold kama dakika tano hivi then nikaambiwa pesa zako zitarudishwa baada ya masaa 24....nachojiuliza mbona hawanipi reference number ya kunihudumia incase nipate pa kuanzia kama haitarudishwa after 24 hours.msaada tafadhali waungwana
 
Mkuu!

Mimi ninaamini kuwa hiyo fedha yako itarudi kwakuwa umetuma ktk acc ambayo haipo.

Kuwa na Amani na endelea kuwapigia.
 
Je, inawezekana account ya bank moja ikafanana na ya bank nyingine!?

Kwa kadiri nijuavyo nambari za akaunti baina ya benki na benki haziwezi kufanana....

Nambari ya akaunti ya benki kwa kawaida hujumuisha bank code, branch code...hivi tu vinatosha kuleta utofauti
 
wote hapo mnalaumu voda kwa kukariri..hapo Voda wanajaribu kutoa msaada coz hiyo hela haipo ktk account yao but ni account ya CRDB..na wao wanaomba CRDB kwa niaba yako,so kuwalaumu si kuwatendea haki wakati ni wewe ndie uliyefanya makosa.
 
Kaka huduma za kielekitroni za kuhamisha pesa toka mpesa kwenda NMB ni mbaya ingawa ni muda umepita tangu nipatwe na dhahama kama hizo.Pia wahudumu wa NMB na baadhi ya whudumu wa VODA kauli zao si njema yaani it is not what we can call customer care.Kwenda physical Voda office ni alternative ya kuwapa msukumo.Jaribu ingawa nina hakika pesa itarudi kwa muda waliokuambia lakini ni kwa kuwakumbusha,ila pia jiaandae kukwazika kisaikolojia
 
Voda hawalaumiwi kwa hili ndugu yangu..wanajamii wanaelezea kinachowapata wanapohitaji huduma za customer care kutoka Voda...na pia huduma hii iko provided na voda maana mteja anatoa pesa voda kwenda bank..kwa bahati mbaya account hiyo haipo.
Wajibu wa voda ni kumsaidia mteja na kuhakikisha pesa zake zipo salama.
 
Back
Top Bottom