Beach plot at Mjimwema Kigamboni for sale

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
715
680
BEACH PLOT 2 is situated at Mjimwema, along the South Coast of Dar es Salaam, 8 km from the Kigamboni East Ferry Terminal. 100 meter from the main road. plot ipo barabarani eneo ni tambalale.UKUBWA NI SQUARE METER 1400...............PRICE MIL .

IMG-20150310-01662.jpg
 
mkuu ni ml. 23 co? kumepimwa na hamna tatizo

Yaaah mil 23 ila hapajapimwa maana kama unavyojuwa wazee wetu wapo huku toka miaka ile sasa kwenye swala la upimaji walikuwa nyuma sana wanachofanya wanakata vipande tu then wanauza....na halina mgogoro wowote either liwe la miradhi au ukoo..hapana mwenyewe yupo ni mzee wetu wa hapahapa......
 
BEACH PLOT 2 is situated at Mjimwema, along the South Coast of Dar es Salaam, 8 km from the Kigamboni East Ferry Terminal. 100 meter from the main road. plot ipo barabarani eneo ni tambalale.UKUBWA NI SQUARE METER 1400...............PRICE MIL 23 NEGOTIABLE. CONTACT 0716805201...........

View attachment 233507

Ni BACH PLOT? How far from the beach?
Halafu maneo hayo yanasifika sana kwa kuingiza mjini watu kwa kushirikiana na serikali za mitaa!
 
Shukrani mkuu. Lakini tambua hii ni biashara hata kaliakoo au posta watu wanaingizwa mjini madukani ni umakini wako na utashi wako kwa unachofanya.

Poa mkuu, lakini haujajibu swali la msingi; Umbali gani kutoka beach? Kuna viwanja vingine kabla ya kugusa maji?
 
Mkuu hutaki kiwanja kingine kabla ya maji ???? Unaona raha eeeeeh upepo wa baharini ??? Kuna gharika za mungu kama tsunami isije kukukuta hapo ukaenda na maji. Simaanishi kwamba sehemu nyingine hamna gharika ila kaa mbali kidogo kama unaweza hata kilomita 10. Usianze kutokwa na povu hapa kama wafuasi wa ZZK. Amani mkuu wekeza kwenye ardhi usiangalie mara mbili mbili
 
Yaaah mil 23 ila hapajapimwa maana kama unavyojuwa wazee wetu wapo huku toka miaka ile sasa kwenye swala la upimaji walikuwa nyuma sana wanachofanya wanakata vipande tu then wanauza....na halina mgogoro wowote either liwe la miradhi au ukoo..hapana mwenyewe yupo ni mzee wetu wa hapahapa......

Hilo eneo haliko ndani ya mradi wa mji mpya?? tafadhali fafanua hapo kabla hujapigiwa simu.
 
Poa mkuu, lakini haujajibu swali la msingi; Umbali gani kutoka beach? Kuna viwanja vingine kabla ya kugusa maji?

Kutoka beach ni kama meter 600 opposite na south beach resort unaiona kwa mbele hapo kwenye picha kwa mbele kuna miti mikubwa ndo south beach..kutoka main road ni meter 60 tu.
 
Poa mkuu, lakini haujajibu swali la msingi; Umbali gani kutoka beach? Kuna viwanja vingine kabla ya kugusa maji?

Kutoka beach ni kama meter 600 opposite na south beach resort unaiona kwa mbele hapo kwenye picha kwa mbele kuna miti mikubwa ndo south beach..kutoka main road ni meter 100 tu.
 
Kutoka beach ni kama meter 600 opposite na south beach resort unaiona kwa mbele hapo kwenye picha kwa mbele kuna miti mikubwa ndo south beach..kutoka main road ni meter 100 tu.

Poa mkuu, nilijua beach penyewe kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom