Matatizo yako wapi, sema huwez kuzuia watu kukuchallenge ningepata hyo 25k kila siku nisingekuwa na haja ya kulalamikia malipo hayo Ila unapata hyo alaf unakaa muda Tena kuipata hyo au ambacho hukuelewa na kunifanya nionekane nna matatizo Ni nn, weka wazi matatizo hayo pengne ndo MSAADA wangu...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Napenda kuandika ujumbe huu kwenu kuomba MSAADA wa mawazo, pesa ama kazi.
Mm Ni kijana wa kiume( msukuma), mhitimu wa chuo, course ya bachelor of science in taxation(TRA tax officer). Nmemaliza mwaka huu Bado Niko hapa dar kuzunguka kujikwamua kiuchumi.
HISTORIA...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi.
Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.