Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,529
- 6,611
Nani kakwambia Mshahara wao ni huo? Umewahi kujaribu kufanya hizo kazi?Mkuu kwanini usiende kujishikiza security companies kama GARDAWORLD, INSITE, G4S na nyinginezo mshahara kwa mwezi 370,000 hadi 430,000 kwa normal guard
Unazijua CHANGAMOTO zake?
Mleta mada pambana kitaa utatoka usiingie kwenye hayo Magereza sio km unavyoaminishwa unachoambiwa SIVYO kilivyo