Recent content by AKILI ZAKO

  1. AKILI ZAKO

    Mapungufu Lissu anayosema hajawezi kupigwa kwasababu ni ukweli

    Temeke mbona wapo vizimjob wengi sana
  2. AKILI ZAKO

    Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

    So bidhaa zake zikiwa feki na mbovu asiambiwe ni vita?
  3. AKILI ZAKO

    Mapungufu Lissu anayosema hajawezi kupigwa kwasababu ni ukweli

    Kwanini usimuombe huko mpwapwa akupee?
  4. AKILI ZAKO

    Tundu Lissu: Kuna ushirika wa ajabu unashambulia hotuba zangu, yupo Kinana, Nape na Halima Mdee

    Wewe na mama ako mrudi kwenu kizimkaz tumewachoka
  5. AKILI ZAKO

    Tuongee ukweli hapa 🤣🤣

    Muda wanao hapo mwenge stend wanaoshana rasta na simu zao feki za iPhone
  6. AKILI ZAKO

    Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

    Na wanachama wenzake wa BRICS pia ?
  7. AKILI ZAKO

    Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

    Maandishi tu haya kwenye uhalisia tunajua hali ngumu Mko bize kununua magari ya bil 500 ila kununua madawa na kujenga vyoo vya shule mpaka mtegemee michango ya wahisani Vipi pesa ya covid bado ipo?
  8. AKILI ZAKO

    Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

    Vita za kiuchumi gani na wewe wakati malalamiko yametolewa na mwananchi wa nchi mwanachama wa BRICS China akiwemo Tiktok na huawei wanatengeneza magari gani?
  9. AKILI ZAKO

    Tundu Lissu: Makazi ya Wamasai wa Sanya Station karibu na Airport ya KIA yamevunjwa, eneo lao imepewa Kampuni ya Oman Airports

    Mbona umeleta vitu tofauti na mleta mada heathrow airport hapo kilimanjaro iko upande gani?
  10. AKILI ZAKO

    Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

    Mzee wa kupambania hebu tujibu hapa 🤣🤣
  11. AKILI ZAKO

    Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

    Dunia imechangamka sana badala ya jeshi letu kujikita kwenye tafiti zenye manufaa Sidhani kama ni busara kambi ya jeshi kuwa na fremu za biashara je kiusalama ni sawa kweli Wakipigwa ambush atalaumiwa nani?
Back
Top Bottom