Mapungufu Lissu anayosema hajawezi kupigwa kwasababu ni ukweli

Usitegemee majibu ya kueleweka toka kwa watawala au vibaraka wake mkuu.
Wataanza kumshambulia Lissu na sio hoja kama kawaida yao, hata iwe nzuri na ya kujenga kwa namna gani ikitolewa na chama pinzani, kwanza wanaanza kumdiscus mtoa hoja, hoja itajadiliwa kiduchu kwa kusingizia mabeberu.
 
Back
Top Bottom