imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 47,473
- 72,736
Mwishowe Lugalo watauziwa Hamas.Kawa Kigogo sasa 😄
Mwishowe Lugalo watauziwa Hamas.Kawa Kigogo sasa 😄
Mungu wabariki Wamasai
Wewe punguani, siyo sifa kuonesha ulivyo mwendawazimu.mwelezeni kibaraka akaripoti kwa mabwenyenye aliowaahidi migodi ya madini akipata uongozi kwamba haiwezekani
Lissu ana hasira naona akiwa Rais watu wa kwanza atawatoa watu wa asili ya mataifa mawili kama alivyosema miaka ileMwishowe Lugalo watauziwa Hamas.
Wapo hapo kisheria tangu 70'sKwanini wajenge kwenye ueanja wa ndege?
Mbona umeleta vitu tofauti na mleta mada heathrow airport hapo kilimanjaro iko upande gani?Hao ni wavamizi wa maeneo ya airport
Muwe mnaelewa maeneo ya Airport ni mali ya serikali, huwa yanakisiwa kwa umbali mkubwa, kwa hiyo siku ikitokea fursa ya kupanua uwanja, lazima wale waliojenga jenga kiholela pembezoni wote lazima waoondolewe.
Hata haya maeneo mbeleni yatakuja kuliwa tu
View attachment 2983852
Unaona hapa UK haya makazi yote yanaliwa sasa hivi
View attachment 2983853
Lissu ni msema kweli.Lissu ana hasira naona akiwa Rais watu wa kwanza atawatoa watu wa asili ya mataifa mawili kama alivyosema miaka ile
Watanzania wote wenye akili, wanaoipenda nchi yao na watu wake, bila ya kujali imani zao wala vyama vyao, kila mahali wanaunga mkono hoja za Tundu Lisu. Na wengi wanampongeza kwa upeo mkubwa, ujasiri, upendo wake kwa Taifa lake na kwa watu wake.Tundu Lissu ni mtu muhimu sana hapa nchini. Usikute hata ndani ya CCM kuna watu hawafurahii yanayotendeka kipindi awamu hii ila hawana pakusemea. Hizi nondo za Lissu wanazifurahia kiaiana.
Kwanini wajenge kwenye ueanja wa ndege?
Katoka kuwa mwanasiasa na mwanasheria mpaka kuwa mchochezi.
Mwanasiasa kweli hata akiona kasoro sehemu basi haropoki kama yeye.
Tulikuonea huruma sana ulipochakazwa risasi wakati wa Magufuli lakini huenda tukafika pahala tukasema ilikuwa hukumu ya mdomo wako.
ukweli unakukera na kukupandisha mori au mihemko 🐒Wewe punguani, siyo sifa kuonesha ulivyo mwendawazimu.
Tundu Aeleze Jamii Sera za Chama Chake!
Yaani upinzani ni kuripoti vitu pety pety kama hivi?
Ongea Sera za Chama Chako kuhusu Bandari na Mambo mengine yanayohusu Uchumi na jinsi utakavyojitofautisha na Sera za CCM!
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
AmenAlaaniwe anayewanyanyasa, yeye na kizazi chake chote.
hawa hawakuambiwa ulaghai kama wale wenzao wa Ngorongoro?Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X
Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya Oman. Kauza bandari & misitu yetu; anafukuza Wamasai Ngorongoro; sasa anagawa & viwanja vya ndege. Bado mnasema 'Kazi Iendelee'?
View attachment 2983748
Sasa piga picha uwe naye, au wa aina yake nyumbani kwako. Kila siku unalizwa.Dhaaaaa sema kama kuna kiongoz alie onea wananchi WA walalahoi na wasio jiweza bas n huyu awaamu ya 6
Sio poah kabisa mwanamke katili Sana
Wamezaliwa hapo.Huoni hapo ni Mbugani?