Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

Kama ni kuwekeza kwenye R&D hakuna taifa lolote Ulaya limeizidi China

Ukitoa Marekani nafasi ya pili ni China
Hayo mambo mimi nimeshuhudia na nina kuambia kwa facts. Ila siwezi kubishana wala kutetea nchi yeyote. Jua tu makampuni mengi ya ulaya yanafanya research kubwa sana. Kampuni kama Siemens, Bosch ziko mbele sana.
 
Unajua kwanini hizo kampuni zimepigwa marufuku kuuza gari zao USA?
Ila wewe mwafrika mpenda vya dezo na bei rahisi nunua baada ya miezi 3 unaweka uwani unarudi kwenye passo na ist
Kwahiyo Huawei na Tiktok nao wanatengeneza magari mabovu? Ni vita za kiuchumi hizo wewe…
 
Kwahiyo Huawei na Tiktok nao wanatengeneza magari mabovu? Ni vita za kiuchumi hizo wewe…
Vita za kiuchumi gani na wewe wakati malalamiko yametolewa na mwananchi wa nchi mwanachama wa BRICS China akiwemo
Tiktok na huawei wanatengeneza magari gani?
 
Hayo mambo mimi nimeshuhudia na nina kuambia kwa facts. Ila siwezi kubishana wala kutetea nchi yeyote. Jua tu makampuni mengi ya ulaya yanafanya research kubwa sana. Kampuni kama Siemens, Bosch ziko mbele sana.
MImi naongelea takwimu. Mfano kwenye telecom SIEMENS hawajaifikia HUAWEI kwenye budget ya R&D

HUAWEI ametumia $23 bln kwenye R&D wakati SIEMENS wametumia $6 bln

HUAWEI wamekuwa wa kwanza kuanza na 5G commercial chip kabla ya SIEMENS, ERICSSON na nyingine za Ulaya

Na sasa hivi HUAWEI wamefungua R&D center Shanghai kwa ajili ya kuanza kutengeneza lithography na fab equipment

Na bado haukunijibu swali langu kati ya China na zile nchi za Ulaya ulizotaja ni nani anaongoza kwenye spacecraft technology?
 
Benz ni fahari ya mjerumani yaani kama wimbo wao wa Taifa
Wengi wametaka kununua ila mjerumani kagoma kuiuza
Mhindi kanunua Range ila sio Benz
Mchina baiskeli za umeme zinalipuka kila leo, ila uzuri magari yao hakuna ulaya
Africa tutanunua kwa kitonga chake tu
Acha uongo ulaya ndo soko kubwa kuliko Africa, sisi tuna ahela gani
 
Ninamaanisha sisi waafrika hatuwezi kuwa soko la magari yakisasa ya china, Hatuna Hela, soko kubwa la bidhaa za china ni ulaya na Amerika
 
Unaamini kabisa gari za wachina? Haya
Nina FAW, inapiga mzigo hatari!
1715166237975.png
 
MImi naongelea takwimu. Mfano kwenye telecom SIEMENS hawajaifikia HUAWEI kwenye budget ya R&D

HUAWEI ametumia $23 bln kwenye R&D wakati SIEMENS wametumia $6 bln

HUAWEI wamekuwa wa kwanza kuanza na 5G commercial chip kabla ya SIEMENS, ERICSSON na nyingine za Ulaya

Na sasa hivi HUAWEI wamefungua R&D center Shanghai kwa ajili ya kuanza kutengeneza lithography na fab equipment

Na bado haukunijibu swali langu kati ya China na zile nchi za Ulaya ulizotaja ni nani anaongoza kwenye spacecraft technology?
Siwezi kubishana na wewe maana nimesema hapo juu ninasoma Masters in Industrial Engineering na nimekwambia kila kampuni inafanya Research and Development huku Ulaya. Na wachina wanatumia technology nyingi za Ujerumani sana sana kwenye consultation. Nimeongea ninachokijua na sio ku-google. Uwe na siku njema.
 
Mchina kuna baadhi ya maeneo huwa anadesa sana, kuna maeneo yupo poa. Mchina hutengeneza kitu sana na thamani ya pesa, ukitaka cheap zaidi ndo anakuumiza Mchina.
Japo anazo items nzuri za magari anayo pia magari mabovu! 😁
 
Back
Top Bottom