Recent content by Born_T0WN

  1. Born_T0WN

    Assistant Investigators III (100 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    baada ya kukamilisha kujaza kila kitu button ya ku SUBMIT haifanyi kazi
  2. Born_T0WN

    Onyo kwa Matapeli ajira za TAKUKURU

    submit button is not working
  3. Born_T0WN

    Ajira mpya za TRA

    Asante,
  4. Born_T0WN

    Nahitaji msaada wa haraka, kuna kitu kimeingia jichoni

    Jaza maji kwenye ndoo, Kisha angalia ndani ya maji kwa jicho lenye shida, Chungulia ndani ya maji kwa dakika kama 5 hivi, utakuja kunishukuru
  5. Born_T0WN

    Ajira mpya za TRA

    Pole, nadhani ukishatuma hakuna kurudi nyuma.. labda ujaribu kutuma tena uwe na double application
  6. Born_T0WN

    Ndugu zangu hii siyo love bite kweli?

    yenyewe hiyo mzee, mali yako imeliwa
  7. Born_T0WN

    Ajira mpya za TRA

    picha tunaweka sehemu gani wakuu?
  8. Born_T0WN

    Ajira mpya za TRA

    baada ya kujaza taarifa zako zote fungua sehemu ya Search Jobs, ukiexpand kwenye post uliyoomba utaona sehemu ya ku_attach certificates, CV na Cover Letter na hatimaye kutuma maombi
  9. Born_T0WN

    Ajira mpya za TRA

    Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja. Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
  10. Born_T0WN

    Mke wa Baba Levo aomba msamaha na kumtaka warudiane, marafiki walimdanganya

    Aje na marafiki zake, waeleze walimdanganya vp hadi akaamini.
Back
Top Bottom