Nimejisajili ,ila changamoto sioni pa ku-attach certificate na hata ukijaribu kuomba inakurudisha home page yao ya kujaza detail zako .
Sasa sijui nakosea wapi, naombeni mnisadie
baada ya kujaza taarifa zako zote fungua sehemu ya Search Jobs, ukiexpand kwenye post uliyoomba utaona sehemu ya ku_attach certificates, CV na Cover Letter na hatimaye kutuma maombi
 

Attachments

  • tra1.PNG
    tra1.PNG
    17.3 KB · Views: 43
  • tra.PNG
    tra.PNG
    12.5 KB · Views: 41
Shida kwangu ipo hapo. Nikizitafuta hizo sehemu nakuta zingine nimejaza na zingine hazipo
Screenshot_20230601-092511.jpg
 
Jana usiku nimeingia kwenye portal yao nikajaza taarifa zangu kadhaa na nikaomba post ambayo sina hata vyeti vyake na maombi yameenda fresh.....
 
Jana usiku nimeingia kwenye portal yao nikajaza taarifa zangu kadhaa na nikaomba post ambayo sina hata vyeti vyake na maombi yameenda fresh.....
Kwa hili nafanyaje maana nimejaza ila bado inaniambia hivyo
Screenshot_20230601-092511.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom