Recent content by BarakaJr

  1. BarakaJr

    Askofu Isaya Mengele na Askofu Mwaikali, mgogoro wa KKKT Dayosisi ya Konde unawapaka matope!

    Umesahau katoliki linaendeshwa toka Roma Vatican?? Na wa huku wao ni kufuata tu maelekezo
  2. BarakaJr

    Janeth Rithe: Serikali iwasikilize Wamiliki wa mabasi

    La wamiliki mnaweza kuliingilia na kulipazia sauti,ILA likija suala la maslahi ya madereva/wafanyakazi ambao haohao Taboa na Tatoa ndio waajiri wao hua hamuongei!!
  3. BarakaJr

    Mwl. Nyerere: Unaweza kumtingisha Waziri Mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais

    Tunamuombeaje ilhali mamlaka hazijasema kama ni mgonjwa!!?[emoji848][emoji848]PM amesema mzee ni mzima yupo anachapa kazi
  4. BarakaJr

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Hiyo link haifunguki Post sent using JamiiForums mobile app
  5. BarakaJr

    MB nazo zapunguzwa kimya kimya

    Icho cha halotel wiki 500 unaungaje?
  6. BarakaJr

    MB nazo zapunguzwa kimya kimya

    Wote wababaishaji
  7. BarakaJr

    KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Mbona unatetea sana upotevu!?
  8. BarakaJr

    KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Umenyoosha vizuri,kwa kweli Malasusa hapo amepotoka na anapaswa kutubu na kujivua uaskofu
  9. BarakaJr

    KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Hata kama hakuna mstari ndani ya biblia uliokataza pombe,lkn kwa Askofu kukiri na kuhalalisha unywaji pombe,huko ni kupotoka na anatufanya tuwe na shaka na uaskofu wake,mimi ni mlutheri na ametuangusha kwa kweli
  10. BarakaJr

    KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Hivi huyu si ndio alikumbwa na kashfa ya kupokonya mke wa mtu,na akaamua kumhamishia nje ya nchi?!! Eeeh Mwenyezi Mungu utunusuru na hawa viongozi wa dini wanaojitoa ufahamu
  11. BarakaJr

    Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

    WaTz bhana,Wanadhani watadumu kwenye hivyo vyeo maisha yao yote.
  12. BarakaJr

    Ugonjwa wa Tetekuwanga (Chicken Pox): Maambukizi, dalili, madhara na tiba

    Pole sana, Kama unahamu mmea unaitwa mchunga,kwa waliokulia vijijini tumeula sana na wafuga sungura pia wanaufahamu,chuma wa kutosha kisha chemsha kabisa,kisha hayo maji uyaogee hata kutwa mara mbili,na mengine unywe walau vikombe viwili,ilinitibu hiyo kijijini.Usiache kuleta jibu
  13. BarakaJr

    Nafukua kaburi la biashara ya Freeman Mbowe, Nini asili yake?

    Kabla ya kuuliza baba alikua nani huko nyuma,kumbuka Aikael ni mmoja kati ya matajiri waliomuwezesha Nyerere kifedha katika harakati za kudai uhuru.
Back
Top Bottom