Recent content by Azoge Ze Blind Baga

  1. Azoge Ze Blind Baga

    Aliyeweka mataa hapa Nyegezi Corner (Njiapanda ya Saut) kafikiria nini?

    Bora njia panda ya buswelu pana magari mengi taa muhimu
  2. Azoge Ze Blind Baga

    Aliyeweka mataa hapa Nyegezi Corner (Njiapanda ya Saut) kafikiria nini?

    Tangu siku ya kwanza kuwekwa hizo taa na kuanza kuongoza magari watu tuligundua ni shida tupu na kuleta jam njia ya saut haina magari mengi labda boda ambao hawajali hizo taa, pale hapakua na ulazima wa kuweka taa wamezingua kinyama na kuleta jam uchwara
  3. Azoge Ze Blind Baga

    Hivi wanaposema jipende mwenyewe unatakiwa ujipende kwa vitu/namna ipi?

    Mara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha kujipenda wewe kama wewe na kujipa kipaumbele??
  4. Azoge Ze Blind Baga

    Ni kwanini misiba ya siku hizi imegeuka vijiwe vya kupeana umbea na majungu?

    Umesahau na kijiwe cha kulewa yani misiba ya siku hizi full kunywa k-vant na nyagi za kutosha
  5. Azoge Ze Blind Baga

    Mgomo wa daladala Mwanza leo Machi 11, 2024

    Na wabajaji baadhi ya njia wamepandisha bei nauli
  6. Azoge Ze Blind Baga

    Single mama wa watoto wanne anataka mapenzi ya kudekezwa kama binti kigori

    Hapa kitaa kuna single mama ana watoto 4 watatu baba mmoja mmoja baba mwingine Single maza huyu ana umri wa miaka 37 tu ni mjasiria mali. Kwa kuwa bado ni dogo dogo nikaona nimtie vokali niwe najipoozea kimtaa mtaa meshakubali Na tayari nimemchakata. Ila chamgamoto niliyogundua bado...
  7. Azoge Ze Blind Baga

    Huyu Mwanamke ananikatisha tamaa ya kumtunza mtoto

    Somo ulijichanganya sana lijanamke limezalishwa watoto wawili tena baba tofauti nawe ukaenda kuloweka hapo hapo na kumtia mimba nyingine ulitegemea nini hapo umeyatimba asee na utapata tabu sana usipokua na roho ngumu
  8. Azoge Ze Blind Baga

    LATRA Mwanza, Mmeongeza nauli za dalala ila imekua kero mno kwetu abiria kuulizwa kama una mia au dola wakimaanisha sh mia moja

    Hawa washenzi kama wameambiana nimezungunzia mia kama hela yao ya kwanza kuomba ila suala la mia mbili nikupe jero hata huku Mwanza ndo tabia yao. [emoji849]
  9. Azoge Ze Blind Baga

    LATRA Mwanza, Mmeongeza nauli za dalala ila imekua kero mno kwetu abiria kuulizwa kama una mia au dola wakimaanisha sh mia moja

    Hili ongezeko la nauli limekuwa kero sasa na Makonda wanacheza na mziki wa viongozi wa LATRA ambao wao wana matumbo ya kushiba na familia zao Huku Mwanza sijaona faida ya LATRA kuongeza nauli zaidi ya kero ya kuombwa shilingi mia mia " una mia hapo " ndo kauli za makondakta wa daladala za...
  10. Azoge Ze Blind Baga

    Ukiwa na Uelewa na Ufahamu mpana na wa kutosha wa masuala mbalimbali, ukinyimwa, kukataliwa au kusubirishwa ulichoomba hutojiskia vibaya

    Tatizo wengi wanakosa stamina ya hisia zao. Kuna mdau hapo juu kasema Emotional intelligence bila hiyo ni kuteseka tu.
  11. Azoge Ze Blind Baga

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Acha uboya kiumbe wa kiume asiechepuka ni Mbwea na njiwa tu hao ndo huwaga na jike mkoja tu mpaka kufa Tafuta mchepuko piga mashine ikiwezekana uwe unalala huko huko unarudi home asubuhi na usimpe attention huyo mke wako atazidi kukupanda kichwani Anakubania uchi wengine anawapa wanamgeuza...
  12. Azoge Ze Blind Baga

    Hivi jimbo la Nyamagana jijini Mwanza lina mbunge kweli. Wakazi wa Kishiri wanateseka mno na barabara yao Mbovu sanaa

    Nchi hii ya Tanzania baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 chini ya mwendazake majimbo yote yalikua chini ya CCM likiwemo hili la Nyamagana chini ya uongozi wa Stanslaus Mabula. Huyu mbunge sijui kama yupo hapa Mwanza. Barabara nyingi za jimbo lake hasa maeneo ya pembeni ambayo kimsingi ndio yana...
Back
Top Bottom