Recent content by apologize

  1. apologize

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    [emoji1][emoji1] watoa Ushauri ni wachache, wengi ni wakandamizaji Naona jinsi nchi yetu tuna Aina gani ya watu . Umeleta Jambo title imeandikwa kuomba Ushauri mtu anaaanza kukutisha. Kitu ambacho ni quite different. Ni Bora mtu aseme nakupa angalizo. Mtu mpaka kuandika humu amewaamini hawa...
  2. apologize

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    Mwanamke kunyanyaswa na jamaa kutomhudumia . Anadai mimba alilea yeye na mama yake jamaa aliwaacha.
  3. apologize

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    Ndugu wewe inaonekana hujawahi kuzini ni mwaminifu siku zote. Makosa hutokea ndo maana watu wanatafuta Ushauri. Wewe hufai kuwa hata mshauri wa familia yako
  4. apologize

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    Sijavunja ndoa na hata simjui nimekutana nae alipokuja kwenye mkoa ambao mimi nipo. Ndoa yake anasema waliachana miaka miwili iliyopita na mmewe aliambiwa yuko mkoa mwengine kwa hiyo hawajawahi kuwasiliana.
  5. apologize

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    Unatoa Ushauri au laana. Mbona unajivika umungu. Binti ametoka mkoa mwengine amekuja mkoa naoishi mimi. Akanidanganya kuwa hajaolewa na Hana mtoto. Au ndugu yangu ujapitia maisha ya ujanani kila kitu utafanya perfect.
  6. apologize

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    Huyu binti alitoka mkoa mwengine amekuja kufanya kazi mkoa mwengine. Kwa hiyo nilikuwa sijui chochote si unajua mtu akiamua kuficha taarifa zake. Na yeye hajui huyo mwanaume anaishi wapi ss hivi.
  7. apologize

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    Habari wakuu? Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano kwa miezi sita sasa. Nilikutana nae kwenye mgahawa mmoja nilipokuwa naenda kupata chakula. Mimi bado sijaoa na sina familia maisha yangu mengi nakula kwenye migahawa. Nilimpenda kiukweli hatimaye nikawa nae. Binti huyu akuniambia mama ameolewa...
  8. apologize

    Msaada: Software ya ku print PVC card nina EPSON L-850

    Habari wakuu? Nina printer aina ya EPSON L850 changamoto niliyonayo nashidwa ku print PVC card. Naomba msaada wa jina la software ili niweze ku download nifanye hii shughuli. Ahsante.
  9. apologize

    Naomba msaada nataka Kuprint PVC card kwa Epson

    Naomba msaada wa jina la hyo software na mimi na tatizo Kama hilo
  10. apologize

    TRA yafafanua ongezeko la ushuru wa magari

    Nini kimesababisha hiyo Vanguard 2013 kutoka Kodi ya million 11 hadi million 31
  11. apologize

    Kwa vijana wenzangu wa kiume mliopo katika uchumba sugu 2021 fanyeni maamuzi magumu

    Hapa ni kupeleka mahari kabisa sitaki hutaki mwakani. Then nafunga ndoa ya bila sherehe, sitaki usumbufu na mtu na sitaki mtu anilazimishe sherehe
  12. apologize

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo IIRKNGA DC nije KALAMBO - RUKWA Idara Sekondari
Back
Top Bottom