Sure man, pia wenye yard nao wabadilike maana wana access na wateja hata wale wazee wa kuagiza magari maana mteja akija mpe options siyo zile za hii gari ngumu mara hii gari haili wese.
Afu mfano zile premio, Mark x, athlete na baadhi ya sedan za BMW na audi watu bado wanakomaa nazo as zipo so overrated Na overpriced while ukiangalia Honda na mazda wana same profile cars Kwa bei nzuri afu zina tech ya kisasa kabisa.
Inazalisha umeme kwa kutumia generator ndogo na kuihifadhi kwenye battery tofauti na ile ya kupigia starter na inatumia pia mafuta at the same time hivyo zinakuwa hazili wese sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.