Search results

  1. 4G LTE

    Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

    [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
  2. 4G LTE

    Series (Special thread)

    Nani mafia humu anisaidie La Unidad Season 2 & 3?
  3. 4G LTE

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Hebu gusia zaidi kuhusu hiyo emptiness mkuu
  4. 4G LTE

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    Sure man, pia wenye yard nao wabadilike maana wana access na wateja hata wale wazee wa kuagiza magari maana mteja akija mpe options siyo zile za hii gari ngumu mara hii gari haili wese.
  5. 4G LTE

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    Umegonga mule mule, afu njoo uchek Honda civic ambapo kuna sports zake pia.
  6. 4G LTE

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    Afu mfano zile premio, Mark x, athlete na baadhi ya sedan za BMW na audi watu bado wanakomaa nazo as zipo so overrated Na overpriced while ukiangalia Honda na mazda wana same profile cars Kwa bei nzuri afu zina tech ya kisasa kabisa.
  7. 4G LTE

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    Sana mkuu maana hizi hizi budget za anaconda, tako la nyani, dualis etc unapata chuma kali sana.
  8. 4G LTE

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    Kweli mkuu, afu hivi unajua ukiachana na forester kuna mnyama outback nae si poa wakenya wapo bongo ndio nimewaona nazo sana.
  9. 4G LTE

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    Hao ni watu sema kibongo Bongo tunakariri tu zile brand zilizozoeleka mfano Peugeot mpaka ssa watu wanaziogopa ila zimesimama pia
  10. 4G LTE

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    Inazalisha umeme kwa kutumia generator ndogo na kuihifadhi kwenye battery tofauti na ile ya kupigia starter na inatumia pia mafuta at the same time hivyo zinakuwa hazili wese sana
  11. 4G LTE

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    Hivi aqua zote ni hybrid?
  12. 4G LTE

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    Ndio mkuu na ushahidi ninao
  13. 4G LTE

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    Jiandee kuanzia 23mn,wese inakunywa kama viazi vya Mbeya, pia jiandae kwa changamoto za cvt na kupasuka kwa dashboard huku paa likiooza.
  14. 4G LTE

    Je, utawala wa IST unafika Kikomo?

    Bila kusahau suzuki na mitstubish outlander
  15. 4G LTE

    Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

    Aloooh ssa unaniweka njia panda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  16. 4G LTE

    Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

    Kukatika ulimi kwenye utamu si mbaya[emoji23]
  17. 4G LTE

    Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

    Siyo poa mke mrembo[emoji23]
Back
Top Bottom