Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au...
Habarini Wanajf
Naomba kuelekezwa namna ya matumizi ya dawa za kuangamiza magugu sinazofahamika kama palizi.
Nimelima alizeti maeneo ya Dodoma.
Mimea ya Alizeti ilikuwa na magugu, nikaelekezwa...
Habari wadau,
Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada.
Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani...
Mambo vipi wadau nataka kufuga ng'ombe wa kienyeji vijijini bajeti yangu milion 5.
Nataka ninunue ndama 1@150000tsh niwakuze kwa miaka 3 then niwauze je?
Ni changamoto gani nitakumbana nazo...
Natafuta Mashamba ya Bei Rahisi kwenye Mikoa ya Kagera na Tabora. Mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50, yawe na upatikanaji wa maji ya kutosha na hali bora ya hewa.
Mwenye taarifa za...
Habari za mida hii wanajamvi.
Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu ni wapi na weza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe.
Bei iwe ya jumla ya shambani na pia gharama za usafiri zimekaaje? Kwa...
Leo ningependa kuzungumzia hii biashara ya kuku inayofanywa na baadhi ya wafugaji ambao mwisho wa siku wanazalisha vifaranga na kuwauzia wajasiliamali wengine.
Somo hili ni mahususi kwa wale...
Kumekuwa na kasumba juu ya swala Zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji kuonekana kama ni swala lisilowezekana yaani kufuga kuku wa kienyeji mpaka kufikia idadi kubwa yani 1000, 2000 au hata 3000...
Kwa mwana JF yeyote mwenye ujuzi na uzoefu wa kilimo cha viazi naomba anipe detail kuhusu kilimo hicho.
Yaani kwa mfano, nikitaka kulima hekari moja natakiwa kuwa mtaji wa kiasi gani? Na vipi...
Wadau,
Nimepata habari rifiji ni mgodi mpya wa upatikanaji wa ngombe na mbuzi kwa bei nzuri. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa hili na connection anijuze!
Habari wanajukwaa, katika kufikiria mbinu na namna ya kuboresha na kufanya ujasiriamali kupitia kilimo na ufugaji nimewaza na kupanga kupata vijana waliopitia mafunzo ya JKT (either kwa mujibu wa...
Wakuu kwa mara nyingine nimefanikiwa kuagiza hawa vifaranga wa Kuroiler. Hawa ni kuku kutoka India na wanaweza fugwa free range na hawa like Dorep wanakuwa wakubwa sana. So by mwezi wa 12...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amegawa TANI MOJA ya Mbegu Bora za Mazao ya Alizeti kwa Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ili kuwainua Wanawake Kiuchumi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.