Nataka nianze kufuga ng'ombe wa kienyeji. Naomba ushauri

ALAGWA SAFI

New Member
Nov 15, 2023
1
1
Mambo vipi wadau nataka kufuga ng'ombe wa kienyeji vijijini bajeti yangu milion 5.

Nataka ninunue ndama 1@150000tsh niwakuze kwa miaka 3 then niwauze je?

Ni changamoto gani nitakumbana nazo nijiadhari mapema.

Location yangu ni Dodoma
 
Habari njema kwa wafugaji wa Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo.
IMG-20240109-WA0002.jpg
 
Wazo zuri lakin zingatiaa kila baada ya miezi mitatu unawapatia vidonge vya minyoo vinauzwa Tsh 1000/= na Hakikisha wanakunywa maji safi kama unataka wapate afya njema kwa haraka zaidi, jitahidi kuwapatia mashudu ya alizeti pia, kila la kheri

Ila kwa mimi ngombe 20 ni wengi mno mimi ningefuga hawa ngombe wa kisasa hata watano tu unapiga pesa ndefu mbona !!
 
Nadhani ungeanza Kwa kununua ng'ombe ambao hawana afya nzuri,uwatunze vizuri na kuwanenepesha then uuze. Vijijini kwenye minada utawapata kwa bei nzuri tu,mfano kuna wanaouzwa kuanzia 250000-400000. Ukiwa na uhakika wa malisho,maji na dawa ndani ya miezi 4 unauza na kuongeza wengine. Ndama utaanza kununua ukiwa unaendelea na biashara kama utaona inafaa, biashara ya kuanza na ndama itakuondolea molali ya ufugaji,maana unaweza kupigwa usipokuwa unawajua ng'ombe vizuri,unapewa vilivyo dumaa,unashangaa mpaka miaka 3 bilabila,lakini kwenye waliokonda wanajulikana kabisa. All the best
 
Ushauri mjarab kabisa
 
Habari wakuu, Kwa anayejua minada ya mifugo Kwa Kanda ya kati ipo maeneo gani Kwa mikoa kama Morogoro, pwani, Dodoma, singida, na Tanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom