Kwa sasa Waziri pekee mwenye nyota kali inayomzidi hata namba moja ni January Makamba.
Mwanzoni tulidhani tukimuweka kwenye wizara ya Muungano na Mazingira,nyota ya mwanamama,nguli wa siasa za...
Tanzania: Authorities rushing to pass bill to further repress human rights
21 June 2019, 20:46 UTC
Tanzania’s parliament this afternoon begun deliberating a bill which, if passed into law, would...
Pierre na wabunge wamerudi bila kushika ngoma kuishangilia Taifa Stars na hatimaye kufungwa 2-0.
“ Makonda umesema ukienda Misri Taifa Stars tutashinda kutokana na motisha ya ushangiliaji, panda...
Tunapozungumzia maendeleo ya watu badala ya maendeleo ya vitu, CCM na wapambe wa Rais Magufuli huwa hawaelewi kabisa. Trevor Noah kutoka The Daily Show with Trevor Noah anamhoji mkurugenzi wa...
Maendeleo hayana chama. Hapa Kazi Tu!
Uchaguzi Mkuu 2020 wapiga kelele wote huo ndo mwisho wao, hatutaki kuwapotezea wananchi muda wa kufanya kazi.
Nitashangaa sana wananchi watakaowachagua...
BULEMBO AMPA MUSIBA SIKU 7 “SIWEZI KUCHONGANISHWA NA MAGUFULI
anasema Mara Nyingi ukiwa mstaafu unapaswa kukaa kimya ila kwa hili sitanyamaza,
kuna Gazette moja linaitwa Tanzanite limesema kikao...
Tanzania imetia saini mkataba wa kupatiwa fedha za msaada wa Sh60 bilioni kutoka Serikali China bila ya masharti yeyote ambapo Serikali ya Tanzania itaamua matumizi yake katika miradi mbalimbali...
Kwa mujibu wa mswada wa sheria unaopelekwa Bungeni tarehe 27/6, (MSWAADA WA SHERIA NAMBA 3 WA 2019), kama utapitishwa kuwa sheria, watengenezaji au wazalishaji wa movies wanatakiwa kupeleka picha...
Kwa muda wa miaka sasa Ubalozi wetu Ujerumani umekuwa kama boma la mmasai kuanzia jengo na hata watumishi wake .Ubalozi huu ni mmoja kati ya Balozi kubwa lakini ukifika utadhani si Ubalozi wenye...
Jana nimemskia Mh. Zitto akijenga hoja kuwa wapo Watanzania wenye Dini na wasio na Dini.
Akaendelea kusema kuwa wanasiasa wengi wamekuwa na tabia ya kufungua hotuba zao kwa kusema Bwana asifiwe...
Ndugu zangu,
Leo Ni Tisa Disemba. Ni Siku yetu kuu kusheherekea Uhuru wetu. Tumetimiza miaka 55 ya uhuru. Tuna kila sababu za kusheherekea.
Nitapenda niweke hapa simulizi ya kihistoria yenye...
Yapo mengi sana ambayo yaliahidiwa na CCM na Mgombea wake ndg JPM katika kampeni za uraisi 2015, lakini cha ajabu ni kwamba yaliyoahidiwa hayatekelezwi.
Suala la Katiba mpya ni miongoni mwa ahadi...
Shabaha yetu ya kwanza ni kukamata madaraka ya nchi, huku shabaha ya ccm ni kudumisha madaraka waliyonayo. Hivi ndivyo siasa za karne ya 21 zilivyo. Chama kisicho na malengo ya kushika dola hicho...
Naibu Waziri wa Tamisemi, Mwita Waitara akijibu maswali katika kikao cha Bunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha 2019/2020, jijini Dodoma , alisema Ili kuondoa hali ya mkanganyiko katika jamii...
Kwa kipindi kifupi alichokaa madarakani Rais Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa sana wa kujenga miundombinu ya Uchumi wa Nchi, ameweza kujenga na kuimarisha mifumo ya utendaji kazi na ameweza...
Naibu waziri wa mambo ya ndani mh Masauni amesema serikali iko katika hatua za mwisho za kurekebisha sheria ya usalama barabarani.
Marekebisho hayo ni pamoja na kuongeza kiwango cha faini kwa...
Serikali imesema ipo katika mchakato kufanya maboresho ya sekta ndogo ya haki jinai nchini ili kuendana na kasi kubwa ya mabadiliko duniani yanayotokea katika nyanja mbalimbali.
Waziri wa katiba...
Serikali ya awamu ya Tano Chini ya Uongozi wa Rais John Joseph Pombe Magufuli kwa kushirikiana na Sekta binafsi inatekeleza mkakati mahsusi kwa ajili ya kuwajengea ujuzi nguvukazi ya Watanzania...
Ni miezi tangu homa ya Dengue ilipoingia lakini mpaka sasa hatuoni chochote kinachoendelea mitaani kwetu, uliliacha swala la Dengue ukarukia kwenye Ebola ambavyo haipo, kilichopo mbele yako ndicho...
Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro limewakamata tena Mwenyekiti bavicha taifa, Mhe Patric Olesosopi na Nafal Ngogo pamoja na dereva wao, wamekamatiwa Mgeta leo 24/6/2019 wakielekea Jimbo la Mlimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.