Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,736
- 22,343
Ni miezi tangu homa ya Dengue ilipoingia lakini mpaka sasa hatuoni chochote kinachoendelea mitaani kwetu, uliliacha swala la Dengue ukarukia kwenye Ebola ambavyo haipo, kilichopo mbele yako ndicho kinahitaji kuhudumiwa kabla ya kile unachokisikia kitakuja.
Wananchi tunahitaji usalama wetu hatuhitaji ndani katupa ofa ya kutibiwa kwani ni wajibu wa serikali kutokana na pesa tulizowekeza serikali ni kama kodi ili tuhudumiwe. Umetujuza aliyetupa ofa wanyonge! Lakini haukutupa uhakika kama yeye hawezi kuugua Dengue na endapo ataugua nani atampa ofa.
Waziri kupungua kwa homa hiyo hakutokani na jitihada za serikali kunatokana na madimbwi mengi kukauka.