Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe...
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana, hasa kidato cha 5 au chini ya hapo, pia wanavyuo.
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu...
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze...
Ndugu wanajamii Forums nimeamua kuanzisha uzi huu Mahususi kwa University of Dar es salaam yaani kiufupi kila kitu kinachohusu university of Dar es salaam.
Nimeamua kuanzisha mimi kama Alumnus wa...
Wakuu habari ya muda,
Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.
Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya...
HISTORY OF ARDHI UNIVERSITY
The Ardhi University (ARU) was established after transforming the former University College of Lands and Architectural Studies (UCLAS) which was then a constituent...
The Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) is the government Institution established in 1997 by Act of parliament."the DIT Act No 6 of 1997" to replace the Dar es Salaam Technical College...
Kwa wale waliomaliza kidato cha nne na unapenda kutimiza ndoto za kielimu na chuo cha USTAWI WA JAMII-DSM nafasi za maombi ziko wazi kwa wale wa ngazi za cheti.SIFA STAHIKI :Passed nne(D) na...
Introduction
Nimeamua kuanzisha uzi huu mahsusi unaohusu Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kama njia ya kukienzi chuo hiki kikongwe na cha kipekee nchini Tanzania na duniani kwa ujumla...
Habarini Wakuu Wote!
Huu Ni Uzi Nilioanzisha Mwaka Jana Kuwasaidia Wanachuo Watarajiwa Kufahamu Kiundani Kuhusu Udahili Vyuoni,
Nikiri Huu Uzi Uliwasaidia Sana Wahitimu Wa Kidato Cha Sita Ambao Ni...
Habari wakuu,
Kuna wadogo zetu walimaliza kidato cha sita na matokeo yao yanatarajia kutoka karibuni, kwa sasa wanakaribia kwenye mchakato wa kujaza vyuo na uchaguzi wa shahada watazochukua. Ni...
Habari wakuu,
Kuna wadogo zetu walimaliza kidato cha sita na matokeo yao yametoka karibuni, kwa sasa wapo kwenye mchakato wa kujaza vyuo na uchaguzi wa shahada watazochukua. Ni ngwe muhimu sana...
Wakuu habari,
Baadhi ya vyuo vimeanza kutoa matokeo kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo hivyo. Mfano chuo cha NIT na CBE sijajua kwa vyuo vingine hivyo login katika website chuo kwanzia leo mpaka...
Habari gani members wa JF? Kama una swali lolote kuhusu Hifadhi zetu za taifa, pia maswali kuhusu wanyama pori wa hapa EAST AFRICA(mammals,reptiles,birds,etc) na baadhi ya maswala yanayohusu...
Kama nimeitaja shule yako jitokeze na uitaje umpate school mate mwenzio muunde undugu.. Nimepanga randomly bila kufuata utaratibu wowote..
1.Mzumbe
2.Milambo
3.Kantalamba
4.Minaki
5.Iyunga...
Chagua somo lolote ulilokuwa unaliweza halafu utaulizwa swali na member yeyote yule iwe Mathematics, physics, Literature, Geography, Chemistry, Biology, Geometry au History.
Haya matokeo ndiyo hayo yametoka!! Kila kitu hadharani, sasa ukiwa hapa JF ndo mpango nzima!! Manake watu washaanza kuhoji, mi nina hiki au kile nitafanyaje, haya ngoja nitajaribu kuweka mwongozo...
Habari waungwana,
Kama tujuavyo, Bodi ya mikopo nchini imeanza kutoa majina ya waliobahatika kupata mikopo ikiwemo na tangazo linaloelezea mikopo inatokaje mwaka huu.
Wengi wamekumbwa na...
Hapa ndio chuo nilipoanzia kujifunza mambo ya Buddhism, meditation, chanting nk. Hii ni picha ya mwaka 1997, na hiyo ni sehemu ya wanachuo.
Hiki kilikuwa ni chuo kugumu na chenye sheria kali...
Hongereni kwa kuchaguliwa "The White University" Nawashauri hivi:-
1. Yapo makampuni ya mabasi yatawataka mlipe pesa benki ili yawasafirishe hadi UDOM- Kataa kwani watakupiga hela halafu safari...
Hivi punde waziri wa elimu sayansi na teknolojia anarajia kutangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika mwezi wa tano mapema mwaka huu.
Chanzo cha habari hii ni www.necta.go.tz...
Tunataka kujua post zinatoka lini tumechoka kukaa nyumbani
Ni mwezi wa tano sasa umetia hatuoni dalili zozote au fununu kuhusu post za kidato cha tano, kwa kweli serikali ituonee huruma huku...
Kama wewe ni Mwalimu Mpya na Unahitaji kujua Mazingira ya sehemu uliyopangiwa au kukutana na Walimu wenzio basi toa maelezo yako hapa ili uweze kusaidiwa.
nimepangwa serengeti,naomba aliepangwa...
Habari wakuu,
Mada zinazohusu bodi ya mikopo zimekuwa nyingi jukwaani kutokana na kipindi hiki kuwa cha ujazwaji wa fomu husika, hatusemi kuwa tunakuwa mbadala wa HESLB katika kujibu maswala...
Wakuu japo sijapost kwenye jukwaa hili kwa miezi kadhaa sasa hivyo naomba mnipokee tena mtaalamu Deadbody
Wakuu najua JF kuna watu wa kila aina ya masomo humu hivyo leo naomba niwakusanye watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.