Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.

ngutu boy

Member
Mar 4, 2015
16
6
Tunataka kujua post zinatoka lini tumechoka kukaa nyumbani
Ni mwezi wa tano sasa umetia hatuoni dalili zozote au fununu kuhusu post za kidato cha tano, kwa kweli serikali ituonee huruma huku mtaani tulipo tumekaa mpaka tumechoka au kwa yule anayejua au hata fununu kuhusu hizo post zinatoka lini, tena tafadhali sana tujulishe ndg.

=====================
=====================

Post za Kidato cha Tano 2015 zimeshatoka, zipo hapa: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015
 
iyo ligha inaonyesha kuchoshwa na mambo yasioeleweka ila icwe kesi ngoja nitoe
 
Jamani nisaidien naomba kwa anayefahamu ni lini post za kujiunga form 5 kwa mwaka 2015/2016 zitatoka lini?
 
Ni mwezi wa tano sasa umetia hatuoni dalili zozote au fununu kuhusu post za kidato cha tano,kwa kweli serikali ituonee huruma uku mtaani tulipo tumekaa mpaka tumechoka,au kwa yule anaye jua au hata fununu kuhusu hizo post zinatoka lini,tena tafadhali sana tujulishe ndg.
 
tupeane hbr jaman
 
Sasa Kitaani Kumekuchosha Vp? Maana Post Hata Zikitoka Kwenda Shule Had Mwezi Wa7 Hivyo We Tulia2 Zitatangazwa Mda C Mrefu Haraka Ya Nn?
 
Sasa Kitaani Kumekuchosha Vp? Maana Post Hata Zikitoka Kwenda Shule Had Mwezi Wa7 Hivyo We Tulia2 Zitatangazwa Mda C Mrefu Haraka Ya Nn?

sawa mkuu lakini ni bora wakatutolea ili wazazi waanze kujipanga mapema kuhusiana swala zima la sehemu uliyo pangiwa mkuu
 
Kumbe humu ndani wapo hawa watu. dah JF imeshakuwa nyavu. Mungu bariki Jf.
 
Hahaha ~ subirien maana mmezoea kutumiwa hela za matumizi ~ mtaani lazima upge kazi ule~ hahaha poleni wa lofel kama akina siyee
 
ndo ivo ndg bt unajua kwamba kwa m2 yeyote aliye maliza kidato cha nne time kama hii anakuwa anawaza kwenda shule au chuo kwa hiyo ni jambo la kawaida sana yan

Lakin kusubir kote huku unakuta wengine wanajiingiza kwenye madawa ya kulevya~ maisha tu.
 
Et boy nielekeze jinsi ya kuweka mada watu wakusaidie mm cfahamu ndg~ can you help me

ni rahisi sana girl,cha kufanya ni kwamba kwa mfano ukiingia kwenye education forum kwa juu au mwanzo wa forum utakuta sehemu wameandika new topic kwa maandishi madogo,we click hapo hapo af uendelee
 
ni rahisi sana girl,cha kufanya ni kwamba kwa mfano ukiingia kwenye education forum kwa juu au mwanzo wa forum utakuta sehemu wameandika new topic kwa maandishi madogo,we click hapo hapo af uendelee

Haaa! Sura gumu lote ilo unaliita girl~ au na wew unatumia dawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom