Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jamani si utani ni ukweli kabisa yani wakati wa tendo nikishapiz basi siwez rudia tena, punyeto sipigi nakula vizuri sasa cjui tatizo nini nisaidien jamani Kwa kuongezea mpenzi wangu huwa...
0 Reactions
14 Replies
27K Views
Habari zenu wapendwa Mim ni mama mjamzito mimba ya kwanza nipo siku za mwisho kabis mda wowote Mungu akijalia najifungua.. Tatizo nimepoteza hamu ya kula kabisa nakunywa chai tu na uji pamaoja na...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
  • Redirect
Wanajamvi mimi nilikua ni muhanga wa nyeto takribani miaka nane. Manake nilivyo balehe tu nikaanza kujipimia mpaka mpaka mwaka jana ndo nimeacha nikiwa na miaka 21. Kwani nakumbuka nilivyopata...
1 Reactions
Replies
Views
wana sema kunako watu hakukosi jambo... Nami naamini swala langu kuna mtu huenda akawa na jawabu lake. Toka nime zaliwa sijawai kula kabisa vyakula vya ngano... Japo nili wai kuonja mkate nikiwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari jamani, Naombeni sana msaada wenu JF kwa mwenye ujua juu ya hili nina mama, anasumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na na chembe ya moyo. Hospitali tumeshindwa. Msaada wa maombi ndugu...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
  • Redirect
Naomba kuulizia eti kama ikitokea mwanamke yupo kweny siku za hatarii akafanya sex with condom anaweza pata mimba?? Msaada please ni swali tu[emoji86]
0 Reactions
Replies
Views
AIDS epidemic no longer a public health issue in Australia, scientists say Exclusive by Stephanie Dalzell Posted Sun at 7:09am PHOTO: Lloyd Grosse was diagnosed 30 years ago and told he had three...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Madaktari hebu nisaidieni juu ya hili,nimeshuhudia watu wengi wa karibu yangu wakifariki vifo vya ghafla baada ya kutumia dawa za kurefusha maisha(Arvs). Naomba kujua kwa nn hali hiyo inatokea...
4 Reactions
34 Replies
9K Views
Juzi iliripotiwa kuibuka kwa ugonjwa wa ajabu huko dodoma na watu kadhaa walipoteza maisha. Leo kupitia magazeti imebainika kwamba ule ni ugonjwa ambao chanzo chake ni sumu kuvu ambayo hupatikana...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kuzeeka ni jamba moja kutoweza kuepuka kwa binadamu, lakini tunaweza kuchukua hatua kupunguza athari mbaya zilizosababishwa nalo. Na zifuatazo ni mambo 9 yatakayokusaidia kuahirisha kuzeeka. 1...
7 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Redirect
Vidonge vya kuzuia mimba vina madhara yapi kwa mama/mtoto wa miezi minne?
0 Reactions
Replies
Views
Mim ni msichana na miaka 25. Tatizo langu ni kwamba cpati ujauzito. Nshaenda hosp kwa dk msuya arusha nnikafanyiwa vipimo na dawa nikapewa nikameza lakini sipati mimba. Tatizo nilonalo alosema...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Msaada jamani jinsi ya kupunguza kiungulia (heartburn) please.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Dr. Mmoja wa saikolojia kutoka Paris Ufaransa anaejulikana Kwa dr. Smith Aley kamshauri mteja wake anyoe nywele zote sehemu za siri kutokana na mteja wake kusumbuliwa na stress na kuonekana mtu...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
wataalam wa mambo ya afya naomba ufafanuzi juu ya ya tatizo ya mimba kutunga nje ya kizazi kuna wanawake wawili kwa wakati tofauti wanapata ujauzito alafu unatungia nje ya kizazi tatizo ni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nikiwa nafanya sex mara nyingi bao la kwanza huwa natumia dakika 46 but nikiwa round ya pili utakuta katikat ya game jogoo anasinzia mpaka nipumzike kidogo tena ndio mpango mzima sasa ni nini tatizo?
1 Reactions
48 Replies
9K Views
Kukosa hamu ya kula kwa mtoto ni kinasababisha hali hiyo
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nini sababu ya urethra infections na tiba yake ni nini? Maana my urethra is rough na tiba ya UTI nimepata lakini bado nahisi kama maumivu wakati wa kukojoa. Nikiwa sikojoi nasikia kamuwasho kidogo...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hi guys. Ni shida,hakunaga ugonjwa wa afadhari hata mara moja,ukiumwa jino utasema bora kuharisha, sasa siku ukiharisha kiasi cha wenzako wamelala wewe usiku wako unamalizia chooni utasema bora...
1 Reactions
0 Replies
682 Views
Nimekuwa nikisikia uwezo wa tunda la tikiti maji katika kuhimalisha afya ya mwanadamu, lakini hivi majuzi jamaaa yangu kanieleza uwezo wake wa kuimarisha ndoa katika kutoa nguvu za kiume. Mwenye...
1 Reactions
29 Replies
11K Views
Back
Top Bottom