Zulfa, uko wapi kwa sasa?

Mimi alinitengenezea mazingira, nikalamba mzigo. Siwezi acha halafu aje anione fala​
Ni kweli alitengeneza mazingira,ila haukutakiwa kula mzigo kama vijana wanavyosema, ukichukulia matatizo ya mwezio kama ngazi ya kutii kiu yako hauwezi kupata baraka, kwa jinsi ulivyofanya haukuwa na tofauti na katili yoyote. ulipoona tobo hadi kwnye chupi ulitakiwa kujiongeza na kuishi hapo na kukituliza kichwa kidogo. kama ulivutiwa nae na kulikuwa na ulazima wa wewe kumla ungetafuta siku nyingine.

Siku nyingine usitembee na mwanamke kama malipo ya msaada wako kwake, ikiwa kweli umempenda mtafute kwa wakati mwingine, kama haujampenda usithubutu kabisa kumla maana huo ni ukatili kama ukatili mwingine.​
 
Nimekusoma mkuu
 
Mlikuwa mnasoma chuo kimoja..
Hukumfahamu kwa majina mengine?
Ulikuwa unamsaidia mara kwa mara.. Hukumfahamu kwa majina mengine?
Haukuendelea kutunukiwa kila baada ya msaada ulioendelea kumpatia?
Ni miaka 9 sasa, halafu unamtafuta kwa utambulisho wake halali kabisa, huoni kama unaweza kumuingiza kwenye matatizo huko aliko?

Uzi mwingine wa Mpwapwa huu.
 
Zulfa wako wangapi dunia hii jamani.. hadi nimsababishie matatizo..
 
[emoji23]
Me nimeshaanza kumzongazonga Zulfa wangu hapa.. Alisoma chuo Moro town Diploma ya IT... Na hukuwemo kwa X-list yake aliyonitajia!
Pole sana mkuu. Mimi siwez kuwa kwenye x list, sikuwahi kuwa mpnz. Nlikula kwa masihara tu
 
SEMA mwamba umezingua ulipo weka izo code za Mara chup* yake inatobo Mara sijui ooooh ukapiga mashine Kama kweli upo serious unataka kumpata usingeweka izo code.
 
Mkuu unashindwa nn kwenda kumtafuta vikindu, unajua jina lake, na hata jina la ubini utakuwa unalijua
 
Fanya kwenda kwenye uzi wa kula kimaskhara kule ukatoe kisa hiki....

Ila wadada wanaosoma IT wanajitoa kwl kwl nakmbk chuo walikuwa 9 tu wanaume 80+

Ulipima Lakin maana kwa ulivoelezea uyo zulfa kama kila anaemsaidia anatoa pussy apo kuna tatizo...
 
Fanya kwenda kwenye uzi wa kula kimaskhara kule ukatoe kisa hiki....

Ila wadada wanaosoma IT wanajitoa kwl kwl nakmbk chuo walikuwa 9 tu wanaume 80+

Ulipima Lakin maana kwa ulivoelezea uyo zulfa kama kila anaemsaidia anatoa pussy apo kuna tatizo...
Zulfa alikua very loyal, nadhani alinitunuku mimi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…