Habari za mchana ndugu wana JF. Once again, nzi chuma hadhuriwi na uvundo yupo hapa.
Wakati nikiwa chuo Moro town, nakumbuka niko 3rd year na nlikua naishi kitaani mbali kidogo na chuo.
Siku moja usiku wa saa 1 (muda wa dinner) nilikua nimetoka lecture naelekea home kupata kiporo changu ambacho nilipika asubui kabla sijatoka na kupumzika magetoni, nikakutana na dada anatembea kinyoonge sana.
Unyonge wa huyu dada ulinishawishi nimuulize kulikoni?! Akanieleza kuwa hakuwa na pesa ya msosi asee.. daah! Nilimuangalia yule binti amevalia sketi yake na blauzi na mtandio kichwani. Nilijisikia vibaya sana.
Unajua sisi tuliozaliwa masikini tunaelewa haraka sana mtu akikwambia hajakula. Unaelewa anavyojisikia. Alinieleza kuwa hana hata 100 na hajala tangu asubuhi. Alikua anazunguka zunguka tu pale maeneo ya chuoni, maskinii. Dada Zulfa alikuwa anasoma Diploma ya IT pale chuoni, na wazazi wake ni maskini wa kutupwa huko Vikindu ndani ndani.
Huruma yangu ikanifanya nimwambie tuongozane twende geto akale, chakula kipo. Basi haooo mpaka kitaa.. kafika room kapasha moto kiporo kwenye gesi, akapasha moto na mboga, akapakua na kunikaribisha tule. Zulfa alikua anatetemeka kwa njaa.
Nikamwambia apakue sahani nyingine, ile ale yeye (Ofcoz ilikua imejaa sana, na aliifuta yote). Baada ya msosi, ni kama Zulfa alitaka kulipa fadhila hivi.. akanisogelea nilipokua nimekaa pale kitandani, akazungusha mkono wake kiunoni kwangu, akaniangalia usoni na kunambia "asante sana Nzi Chuma, umenipa nguvu".
Dah! Hisia za mapenzi zikanipanda, nikajikuta nami naanza kupapasa mwili wake.. nikatalii huko mapajani mpaka nikaifikia chup* yake, wakati nimepitisha mkono katikati ya pichu, nikagundua kuwa pale katikati kabisa pana tobo.. daah.. nikajisemea moyoni kuwa "maskini tunasoma kwa shida sana, ina maana Zulfa hana hata hela ya kununua chup* mpya?".
Nikatomasa sana kisha nikaitupa pembeni ile sketi yake, baadae nikampelekea moto kupitia palepale kwenye ile tobo (sikuona haja ya kuivua chup*).
Baada ya kupiga show ndefu, tumemaliza saa 5 hivi, Zulfa akasema hawezi kuondoka tena, ataondoka Alfajiri. Ila hapo ndipo akafunguka na kunieleza kuwa yupo mwanaume aliyemrubuni na kumzalisha ingawa hamjali tena. Yeye akamuacha mtoto kwa bibi yake na kuamua kwenda shule kusoma tu. Anaamini elimu ndiyo itakayomkomboa katika umasikini.
Kiukweli sikuwa na hamu ya kupiga mashine tena baada ya ile siku. Mara kwa mara nilikua namsaidia Zulfa pesa ya kula tu. (Nlikua nagawana nae boom). Mpaka nilipomaliza chuo na kupoteza simu na namba yake. Zulfa hakunitafuta tena huku mtaani. Where are you Zulfa? Nakutafuta nijue unaendeleaje