Sijawahi kuona kampuni yenye kastoma savis mbovu kama zuku. Kama wameongeza bei ndio watajiangalia wenyewe.
Nawashukuru waliniboa siku ya kwanza nikaboreka nikaenda DStv. DStv wana bei mbaya lakini unapata kitu unachotaka isitoshe wana the BEST CUSTOMER SERVICE in town.
Sioni torfauth ya Tshs 21500 za zuku kima cha chini na huduma mbovuest na 22000 za DStv na best huduma.