yule rage kimbelembele akapewa mln 50 zake kibindoni akawachuuza wengine mpaka leo yanga hajasaini huo mkataba na hajachukua hela tff wanachukua hela nyingi kuliko vilabu
mkataba wa voda mwisho mwaka huu anaingia kilimanjaro bia vilabu vyote mabasi azamtv mwisho mwakani anaingia zuku mln 200 simba yanga ml 500